Heche hataki Lissu atoke, anachekelea umaarufu wa kufa kufaana

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Heche alikuwa akimnanga Rais Samia kuwa amefurahia kuwa Rais baada ya Rais JPM kupata shida iliyomuondoa. Sasa hivi Heche nae hataki kusikia kabisa Mwenyetiki Lissu anatoka nje haraka. Nadhani anaomba Mungu ikiwezekana aishie hukohuko ili chama "kimsamie" kama wenzao wa CCM walivyofanya.

Anatoa mashariti yanayosababisha Lissu aendelee kusota mahabusu pamoja kwamba anajua kuwa Lissu ana shida nyingi za kiafya na ana familia. Anajua kabisa Tanzania haiwezi kumtoa nje Lissu kwa mashinikizo ya mtu yeyote wa nje ambae ameshindwa kumtoa Kiza Besije gerezani kule Uganda, ameshindwa kumaliza vita za DRC, Sudani na Ukraine wala Iran; hana meno wala nguvu hiyo ya kuilazimisha tz ipige magoti. Heche anafahamu kuwa majeshi yetu yako vizuri kuilinda nchi yetu hayawezi kusalimu amri kwa waandamaji wa aina ile.
Heche anafukuza kila mtu ndani ya chama anaemkosoa wala kumhoji, mpaka wenzake wameshamshitukia.

View: https://youtu.be/2kfIBqqcQTY?si=TAVh_VVgYbTx8Upu
 
Raisi Samia anayeuchukia UGAIDi wa wanaharakati?
Alimpiga picha na GAIDI freeman mbowe baada ya kutoka jela ? Utamuamini huyo akikwambia alishinda kwa 98% Tena baada ya kuuwa watu na kujificha ngerengere jwtz camp?
Samia anadai wanaharakati magaidi wanatumiwa? Sawa na serikali inatumiwa kuuwa, kuteswa na kutesa watu?
 
Heche alikuwa akimnanga Rais Samia kuwa amefurahia kuwa Rais baada ya Rais JPM kupata shida iliyomuondoa. Sasa hivi Heche nae hataki kusikia kabisa Mwenyetiki Lissu anatoka nje haraka. Nadhani anaomba Mungu ikiwezekana aishie hukohuko ili chama "kimsamie" kama wenzao wa CCM walivyofanya.

Anatoa mashariti yanayosababisha Lissu aendelee kusota mahabusu pamoja kwamba anajua kuwa Lissu ana shida nyingi za kiafya na ana familia. Anajua kabisa Tanzania haiwezi kumtoa nje Lissu kwa mashinikizo ya mtu yeyote wa nje ambae ameshindwa kumtoa Kiza Besije gerezani kule Uganda, ameshindwa kumaliza vita za DRC, Sudani na Ukraine wala Iran; hana meno wala nguvu hiyo ya kuilazimisha tz ipige magoti. Heche anafahamu kuwa majeshi yetu yako vizuri kuilinda nchi yetu hayawezi kusalimu amri kwa waandamaji wa aina ile.
Heche anafukuza kila mtu ndani ya chama anaemkosoa wala kumhoji, mpaka wenzake wameshamshitukia.

View: https://youtu.be/2kfIBqqcQTY?si=TAVh_VVgYbTx8Upu

Heche amekushindilieni kitu kigumu chenye ncha butu na kimezama maungoni mwenu barabara kila mkitikisika kinazidi kuzama.
 
Heche alikuwa akimnanga Rais Samia kuwa amefurahia kuwa Rais baada ya Rais JPM kupata shida iliyomuondoa. Sasa hivi Heche nae hataki kusikia kabisa Mwenyetiki Lissu anatoka nje haraka. Nadhani anaomba Mungu ikiwezekana aishie hukohuko ili chama "kimsamie" kama wenzao wa CCM walivyofanya.

Anatoa mashariti yanayosababisha Lissu aendelee kusota mahabusu pamoja kwamba anajua kuwa Lissu ana shida nyingi za kiafya na ana familia. Anajua kabisa Tanzania haiwezi kumtoa nje Lissu kwa mashinikizo ya mtu yeyote wa nje ambae ameshindwa kumtoa Kiza Besije gerezani kule Uganda, ameshindwa kumaliza vita za DRC, Sudani na Ukraine wala Iran; hana meno wala nguvu hiyo ya kuilazimisha tz ipige magoti. Heche anafahamu kuwa majeshi yetu yako vizuri kuilinda nchi yetu hayawezi kusalimu amri kwa waandamaji wa aina ile.
Heche anafukuza kila mtu ndani ya chama anaemkosoa wala kumhoji, mpaka wenzake wameshamshitukia.

View: https://youtu.be/2kfIBqqcQTY?si=TAVh_VVgYbTx8Upu

..hebu tunyambulie Heche amezuia vipi Lissu kutolewa magereza.

..kwa mfano, Heche alitakiwa afanye nini ili Lissu atolewe.

..kwa maoni yangu, wenye uwezo wa kumtoa Lissu ni mahakama ikiwa itasikiliza kesi kwa wakati na kumpa ushindi.

..wa pili ni Dpp, ikiwa atakubali kitu ambacho watu wengi wamekiona, kwamba kesi haina mashiko na kuamua kufuta kesi.

..sasa Heche hateuwi majaji, wala Dpp, kusema kwamba anaweza kuwaita na kuwahimiza watekeleze wajibu wao ili shauri lifikie tamati.
 
FB_IMG_1784135887787.jpg
 
Heche alikuwa akimnanga Rais Samia kuwa amefurahia kuwa Rais baada ya Rais JPM kupata shida iliyomuondoa. Sasa hivi Heche nae hataki kusikia kabisa Mwenyetiki Lissu anatoka nje haraka. Nadhani anaomba Mungu ikiwezekana aishie hukohuko ili chama "kimsamie" kama wenzao wa CCM walivyofanya.

Anatoa mashariti yanayosababisha Lissu aendelee kusota mahabusu pamoja kwamba anajua kuwa Lissu ana shida nyingi za kiafya na ana familia. Anajua kabisa Tanzania haiwezi kumtoa nje Lissu kwa mashinikizo ya mtu yeyote wa nje ambae ameshindwa kumtoa Kiza Besije gerezani kule Uganda, ameshindwa kumaliza vita za DRC, Sudani na Ukraine wala Iran; hana meno wala nguvu hiyo ya kuilazimisha tz ipige magoti. Heche anafahamu kuwa majeshi yetu yako vizuri kuilinda nchi yetu hayawezi kusalimu amri kwa waandamaji wa aina ile.
Heche anafukuza kila mtu ndani ya chama anaemkosoa wala kumhoji, mpaka wenzake wameshamshitukia.

View: https://youtu.be/2kfIBqqcQTY?si=TAVh_VVgYbTx8Upu

Nchi hii kuna haja ya kutilia mkazo sana elimu ya watu wazima.
Aliyemweka Lisu ndani yupo, anayeweza kufuta kesi yupo, anayeweza kusema kesi hii imekosa ushadidi yupo anayeshikilia kesi na kuomba maharisho yasiyoisha yupo pia anayekataza Lisu asionwe hata na wenzake yupo
Sasa basi ili kumkomoa Heche kwa kutafuta umaarufu basi wenye mamlaka ya kukata mzizi wa fitina wamwachie hata muda huu na siyo hizi ngojera za kusadikika.
 
Kwani Heche ndio kamkamata?
Wanamsubiri Heche apunguze masharti.Kwa mujibu wa mtunzi wa el hadith hapo juu.Nadhani hata walivyomkamata Lissu, walikuwa wamewasiliana na Heche awape masharti.
NB;Kuwa na mawazo/kuandika kizezeta ni kipaji kimejichimbia kwenye DNA za baadhi ya viumbe.
 
Heche ndio mkuu wa gereza?

Heche ndio jaji anayehairisha kesi na kutoa visingizio kila siku ?

Heche ndio wakili wa jamhuri anayechelewesha kuleta mashahidi na kuomba mahairisho kila mara ?

Heche ndio alimfungulia Lissu kesi ilhali uchunguzi haujakamilika hadi watunge ushahidi?
 
Heche alikuwa akimnanga Rais Samia kuwa amefurahia kuwa Rais baada ya Rais JPM kupata shida iliyomuondoa. Sasa hivi Heche nae hataki kusikia kabisa Mwenyetiki Lissu anatoka nje haraka. Nadhani anaomba Mungu ikiwezekana aishie hukohuko ili chama "kimsamie" kama wenzao wa CCM walivyofanya.

Anatoa mashariti yanayosababisha Lissu aendelee kusota mahabusu pamoja kwamba anajua kuwa Lissu ana shida nyingi za kiafya na ana familia. Anajua kabisa Tanzania haiwezi kumtoa nje Lissu kwa mashinikizo ya mtu yeyote wa nje ambae ameshindwa kumtoa Kiza Besije gerezani kule Uganda, ameshindwa kumaliza vita za DRC, Sudani na Ukraine wala Iran; hana meno wala nguvu hiyo ya kuilazimisha tz ipige magoti. Heche anafahamu kuwa majeshi yetu yako vizuri kuilinda nchi yetu hayawezi kusalimu amri kwa waandamaji wa aina ile.
Heche anafukuza kila mtu ndani ya chama anaemkosoa wala kumhoji, mpaka wenzake wameshamshitukia.

View: https://youtu.be/2kfIBqqcQTY?si=TAVh_VVgYbTx8Upu

Kichwa kimejaa makamasi, na, kinyesi, ubongo upo makalioni
 
Heche ndio jaji anayehairisha kesi kesi na visingizio kila siku ?

Heche ndio wakili wa jamhuri anayechelewesha kuleta mashahidi na kuomba mahairisho?

Heche ndio alimfungulia Lissu kesi ilhali uchunguzi haujakamilika hadi watunge ushahidi?
Njia nzuri ni kumtoa Lissu ili kumkomoa Heche na Heche arudi chini. Hili pia gumu kwetu?
 
Back
Top Bottom