Heche amekushindilieni kitu kigumu chenye ncha butu na kimezama maungoni mwenu barabara kila mkitikisika kinazidi kuzama.Heche alikuwa akimnanga Rais Samia kuwa amefurahia kuwa Rais baada ya Rais JPM kupata shida iliyomuondoa. Sasa hivi Heche nae hataki kusikia kabisa Mwenyetiki Lissu anatoka nje haraka. Nadhani anaomba Mungu ikiwezekana aishie hukohuko ili chama "kimsamie" kama wenzao wa CCM walivyofanya.
Anatoa mashariti yanayosababisha Lissu aendelee kusota mahabusu pamoja kwamba anajua kuwa Lissu ana shida nyingi za kiafya na ana familia. Anajua kabisa Tanzania haiwezi kumtoa nje Lissu kwa mashinikizo ya mtu yeyote wa nje ambae ameshindwa kumtoa Kiza Besije gerezani kule Uganda, ameshindwa kumaliza vita za DRC, Sudani na Ukraine wala Iran; hana meno wala nguvu hiyo ya kuilazimisha tz ipige magoti. Heche anafahamu kuwa majeshi yetu yako vizuri kuilinda nchi yetu hayawezi kusalimu amri kwa waandamaji wa aina ile.
Heche anafukuza kila mtu ndani ya chama anaemkosoa wala kumhoji, mpaka wenzake wameshamshitukia.
View: https://youtu.be/2kfIBqqcQTY?si=TAVh_VVgYbTx8Upu
Heche alikuwa akimnanga Rais Samia kuwa amefurahia kuwa Rais baada ya Rais JPM kupata shida iliyomuondoa. Sasa hivi Heche nae hataki kusikia kabisa Mwenyetiki Lissu anatoka nje haraka. Nadhani anaomba Mungu ikiwezekana aishie hukohuko ili chama "kimsamie" kama wenzao wa CCM walivyofanya.

Nchi hii kuna haja ya kutilia mkazo sana elimu ya watu wazima.Heche alikuwa akimnanga Rais Samia kuwa amefurahia kuwa Rais baada ya Rais JPM kupata shida iliyomuondoa. Sasa hivi Heche nae hataki kusikia kabisa Mwenyetiki Lissu anatoka nje haraka. Nadhani anaomba Mungu ikiwezekana aishie hukohuko ili chama "kimsamie" kama wenzao wa CCM walivyofanya.
Anatoa mashariti yanayosababisha Lissu aendelee kusota mahabusu pamoja kwamba anajua kuwa Lissu ana shida nyingi za kiafya na ana familia. Anajua kabisa Tanzania haiwezi kumtoa nje Lissu kwa mashinikizo ya mtu yeyote wa nje ambae ameshindwa kumtoa Kiza Besije gerezani kule Uganda, ameshindwa kumaliza vita za DRC, Sudani na Ukraine wala Iran; hana meno wala nguvu hiyo ya kuilazimisha tz ipige magoti. Heche anafahamu kuwa majeshi yetu yako vizuri kuilinda nchi yetu hayawezi kusalimu amri kwa waandamaji wa aina ile.
Heche anafukuza kila mtu ndani ya chama anaemkosoa wala kumhoji, mpaka wenzake wameshamshitukia.
View: https://youtu.be/2kfIBqqcQTY?si=TAVh_VVgYbTx8Upu
Wanamsubiri Heche apunguze masharti.Kwa mujibu wa mtunzi wa el hadith hapo juu.Nadhani hata walivyomkamata Lissu, walikuwa wamewasiliana na Heche awape masharti.Kwani Heche ndio kamkamata?
Kichwa kimejaa makamasi, na, kinyesi, ubongo upo makalioniHeche alikuwa akimnanga Rais Samia kuwa amefurahia kuwa Rais baada ya Rais JPM kupata shida iliyomuondoa. Sasa hivi Heche nae hataki kusikia kabisa Mwenyetiki Lissu anatoka nje haraka. Nadhani anaomba Mungu ikiwezekana aishie hukohuko ili chama "kimsamie" kama wenzao wa CCM walivyofanya.
Anatoa mashariti yanayosababisha Lissu aendelee kusota mahabusu pamoja kwamba anajua kuwa Lissu ana shida nyingi za kiafya na ana familia. Anajua kabisa Tanzania haiwezi kumtoa nje Lissu kwa mashinikizo ya mtu yeyote wa nje ambae ameshindwa kumtoa Kiza Besije gerezani kule Uganda, ameshindwa kumaliza vita za DRC, Sudani na Ukraine wala Iran; hana meno wala nguvu hiyo ya kuilazimisha tz ipige magoti. Heche anafahamu kuwa majeshi yetu yako vizuri kuilinda nchi yetu hayawezi kusalimu amri kwa waandamaji wa aina ile.
Heche anafukuza kila mtu ndani ya chama anaemkosoa wala kumhoji, mpaka wenzake wameshamshitukia.
View: https://youtu.be/2kfIBqqcQTY?si=TAVh_VVgYbTx8Upu
Heche alikuwa akimnanga Rais Samia kuwa amefurahia kuwa Rais baada ya Rais JPM kupata shida iliyomuondoa. Sasa hivi Heche nae hataki kusikia kabisa Mwenyetiki Lissu anatoka nje haraka. Nadhani anaomba Mungu ikiwezekana aishie hukohuko ili chama "kimsamie" kama wenzao wa CCM walivyofanya.
Anatoa mashariti yanayosababisha Lissu aendelee kusota mahabusu pamoja kwamba anajua kuwa Lissu ana shida nyingi za kiafya na ana familia. Anajua kabisa Tanzania haiwezi kumtoa nje Lissu kwa mashinikizo ya mtu yeyote wa nje ambae ameshindwa kumtoa Kiza Besije gerezani kule Uganda, ameshindwa kumaliza vita za DRC, Sudani na Ukraine wala Iran; hana meno wala nguvu hiyo ya kuilazimisha tz ipige magoti. Heche anafahamu kuwa majeshi yetu yako vizuri kuilinda nchi yetu hayawezi kusalimu amri kwa waandamaji wa aina ile.
Heche anafukuza kila mtu ndani ya chama anaemkosoa wala kumhoji, mpaka wenzake wameshamshitukia.
View: https://youtu.be/2kfIBqqcQTY?si=TAVh_VVgYbTx8Upu
Njia nzuri ni kumtoa Lissu ili kumkomoa Heche na Heche arudi chini. Hili pia gumu kwetu?Heche ndio mkuu wa gereza?
Heche ndio jaji anayehairisha kesi kesi na visingizio kila siku ?
Heche ndio wakili wa jamhuri anayechelewesha kuleta mashahidi na kuomba mahairisho?
Heche ndio alimfungulia Lissu kesi ilhali uchunguzi haujakamilika hadi watunge ushahidi?
Kwanini iwe kukomoana?Njia nzuri ni kumtoa Lissu ili kumkomoa Heche na Heche arudi chini. Hili pia gumu kwetu?
Heche hataki Lissu atoke, anachekelea umaarufu wa kufa kufaana. HEADINGKwanini iwe kukomoana?
Hebu nipe mantiki ya uhusiano wa Heche na Lissu kuwepo gerezani.