ChoiceVariable JF-Expert Member Joined May 23, 2017 Posts 66,537 Reaction score 75,687 Jan 14, 2025 #221 m4cjb said: Kwani sio mwanamke na pia mzanzibar? Click to expand... Hivyo vinahusianaje na Urais wake? Ukisema Heche ni mkurya na mwanaume na hana hoja wewe unaelewaje?
m4cjb said: Kwani sio mwanamke na pia mzanzibar? Click to expand... Hivyo vinahusianaje na Urais wake? Ukisema Heche ni mkurya na mwanaume na hana hoja wewe unaelewaje?
J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 34,188 Reaction score 62,952 Jan 14, 2025 #222 ChoiceVariable said: Hivyo vinahusianaje na Urais wake? Ukisema Heche ni mkurya na mwanaume na hana hoja wewe unaelewaje? Click to expand... ..kwani Heche amesema kitu gani kipya? ..Mama Samia sio mwanamke? ..Mama Samia sio Mzanzibari? ..Mama Samia ni mjenga hoja mzuri, au la?
ChoiceVariable said: Hivyo vinahusianaje na Urais wake? Ukisema Heche ni mkurya na mwanaume na hana hoja wewe unaelewaje? Click to expand... ..kwani Heche amesema kitu gani kipya? ..Mama Samia sio mwanamke? ..Mama Samia sio Mzanzibari? ..Mama Samia ni mjenga hoja mzuri, au la?
ChoiceVariable JF-Expert Member Joined May 23, 2017 Posts 66,537 Reaction score 75,687 Jan 14, 2025 #223 JokaKuu said: ..kwani Heche amesema kitu gani kipya? ..Mama Samia sio mwanamke? ..Mama Samia sio Mzanzibari? ..Mama Samia ni mjenga hoja mzuri, au la? Click to expand... Hayo yote Heche ameyajua Leo? Heche ana hoja gani ya maana kumshinda Samia? Hoja ndio zinaleta maendeleo?
JokaKuu said: ..kwani Heche amesema kitu gani kipya? ..Mama Samia sio mwanamke? ..Mama Samia sio Mzanzibari? ..Mama Samia ni mjenga hoja mzuri, au la? Click to expand... Hayo yote Heche ameyajua Leo? Heche ana hoja gani ya maana kumshinda Samia? Hoja ndio zinaleta maendeleo?
comte JF-Expert Member Joined Dec 11, 2011 Posts 9,019 Reaction score 6,825 Jan 14, 2025 Thread starter #224 JokaKuu said: ..kwani Heche amesema kitu gani kipya? ..Mama Samia sio mwanamke? ..Mama Samia sio Mzanzibari? ..Mama Samia ni mjenga hoja mzuri, au la? Click to expand... Kwani tulihitaji atwambie? Huko ndiko kukosa hoja kwenyewe sasa kama hujui
JokaKuu said: ..kwani Heche amesema kitu gani kipya? ..Mama Samia sio mwanamke? ..Mama Samia sio Mzanzibari? ..Mama Samia ni mjenga hoja mzuri, au la? Click to expand... Kwani tulihitaji atwambie? Huko ndiko kukosa hoja kwenyewe sasa kama hujui