Pre GE2025 Heche: Huyu mama hawezi kushinda uchaguzi Lissu akiwa mgombea na sisi tukiongoza chama sababu ni mwanamke, Mzanzibar na hana hoja

Pre GE2025 Heche: Huyu mama hawezi kushinda uchaguzi Lissu akiwa mgombea na sisi tukiongoza chama sababu ni mwanamke, Mzanzibar na hana hoja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivyo vinahusianaje na Urais wake? Ukisema Heche ni mkurya na mwanaume na hana hoja wewe unaelewaje?

..kwani Heche amesema kitu gani kipya?

..Mama Samia sio mwanamke?

..Mama Samia sio Mzanzibari?

..Mama Samia ni mjenga hoja mzuri, au la?
 
..kwani Heche amesema kitu gani kipya?

..Mama Samia sio mwanamke?

..Mama Samia sio Mzanzibari?

..Mama Samia ni mjenga hoja mzuri, au la?
Hayo yote Heche ameyajua Leo? Heche ana hoja gani ya maana kumshinda Samia?

Hoja ndio zinaleta maendeleo?
 
..kwani Heche amesema kitu gani kipya?

..Mama Samia sio mwanamke?

..Mama Samia sio Mzanzibari?

..Mama Samia ni mjenga hoja mzuri, au la?
Kwani tulihitaji atwambie? Huko ndiko kukosa hoja kwenyewe sasa kama hujui
 
Back
Top Bottom