Pre GE2025 Heche: Huyu mama hawezi kushinda uchaguzi Lissu akiwa mgombea na sisi tukiongoza chama sababu ni mwanamke, Mzanzibar na hana hoja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
kwa hiyo mtamshinda kwa sababu ni mzanzibari na kuwa mwanamke? mbona ,mnafundisha ubaguzi ?nani awapi nchi mkiwa wabaguzi wa namna hii.si mtaanza kuwabagua wananchi kwa majimbo yao na baadaye kwa ukabila?
 
Heche yupo sahihi, Watanganyika tuache ujinga wa kukubali kuongozwa na Mwanamke wa Kizanzibari halafu tuone ni sawa tu kwa kisingizio cha Muungano, kama serikali tuliyonayo ni ya Muungano mbona Rais hana mamlaka ya kuteua viongozi upande wa Zanzibar?
 
HECHE NA BANGI ZA KUVUTIA CHOONI ZINAMPA MATATIZO SANA
 
Sauti yenyewe ya kuchonga na sio Heche.
Lakini pia ni ukweli. Mgombea Mzanzibar na mwanamke kwa watu wa bara ni shida.

Huoni hata wabunge wa kuchaguliwa wanawake ni Wachache? Wanaume wengi TZ hawapendi kuongozwa na mwanamke
 
Hakuna takataka wa kumshinda Samia iwe mvua au jua.

Nadhani Chadomo wafanye hima wamuweke kibaraka Lisu na huyu aliyeshikiwa akili nae tuone watakavyoshinda huo Urais.
 
kwa hiyo mtamshinda kwa sababu ni mzanzibari na kuwa mwanamke? mbona ,mnafundisha ubaguzi ?nani awapi nchi mkiwa wabaguzi wa namna hii.si mtaanza kuwabagua wananchi kwa majimbo yao na baadaye kwa ukabila?
Akili za mtaani zinakuwa sehemu ya fikra za mtu anayetaka kuwa kiongozi mkuu wa CHADEMA.
 
Yupo. Sahihi
 
Kwani hapo shida ni ipi? Rais ni Mzanzibari na mwenyewe alishasema ni Mzanzibari, kwani kuwa Mzanzibari ni kosa kutajwa?
Ndiyo ni mwanamke hiyo haimnyimi nafasi kuwa Rais.
Wewe tu na hofu yako,au ukweli ni kosa?
Shida ya kutokujiamini mkuu ndiyo maana huyo mleta mada anaweweseka.
 
mimi nilikuja kuamini zanzibar wanabebana na kuteteana dhidi ya tanganyika siku mama yao huyo alipomtetea fei toto ambaye alileta dharau na ukosefu wa nidhamu kabisa. alishindwa kujizuia, sasa msiowajua wazanzibar wapo kama huyo mama kipindi kile anadeal na issue ya injinia na feitoto. yupo hapo kwa maslahi ya zanzibar na wazanzibar kwanza, watanganyika mtakuja baadaye.
 
Ukweli usemwe hapa Heche kapuyanga yeye angejenga hoja ila sio uzanzibar na uwanamke kapuyanga saanaaaa
Kasema kweli tupu, KIZIMKAZI hawezi kupta kura za kutosha, za wakristu, hasa wakatoliki, bila kujali ni wana CCM, wabara wengine hasa wanaume.

Yaani Mwanaume wa KISUKUMA amke kwenda kupanga foleni kumchagua MWANAMKE awe kiongozi wake??

Kanda ya kati SINGIDA yote hapati kura bkwa kigezo Cha jinsia na uenyeji wa LISSU.

Zanzibar Kwao dini inakataza Mwanamke kuwa kiongozi.(Khalifa)

ili CCM isipate anguko kubwa sana, inatakiwa wasimamishe mgombea Mwanaume mwenye kibali, hapo watapata angalau viti vya ubunge Kam 50 hivi.

Vinginevyo CCM inaenda kumfia MAMA ABDUL 🤔🤔🤣🤣😃😃🚴🚴🚴🚴
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…