Uchaguzi 2020 Heche jiandae kukabidhi jimbo la Tarime Vijijini kwa Mwita Waitara, hutaki unataka

Mkuu wewe ni Watarime kweli ? Shemeji yangu Albert Gekura na ni kiongozi Chadema Tarime na nipo naye hapa na ananiambia safari hii nguvu lazima iongozwe haraka, mambo sio mepesi hivyo. The gound is Shifting. Na namba yake naweza kukutumia kwenye Inbox yako ukiiomba upate latest updates.
 
Uchaguzi wa TARIME utaingiliwa na polisi kupitia mpango unaoratibiwa na MWENYEKITI WA CCM, MARA ndg samwel keboe maarufu Kama (nambà tatu)
Mpango huo utamhusisha RPC MKOA WA MARA.
Rai yetu kwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania....tunakuomba uturuhusu Tarime tufanye maamuzi yetu bila nguvu kutumika.

Wakuria tunakupenda Rais wetu....
Wakuria tunapenda amani...
Wakuria tuna Uhuru wa kuchagua atakayetuwakilisha vyema na kwa mujibu wa miaka mitano iliyoisha ni Dhahiri HECHE amefanya kazi nzuri.

NB:Yawezekana kweli Heche ana kiburi na kauli ngumu ninakubali maana ni madhaifu ya kibinadamu LAKINI Heche ni Bora kuliko WAITARA.

MHESHIMIWA RAIS NAOMBA AMANI ITAWALE TARIME KIPINDI CHA UCHAGUZI.

MUNGU AWABARIKI.
MUNGU IBARIKI TARIME
MUNGU M'BARIKI HECHE
 
nilikua Tarime hapo juzi..naona Watu wanataka kumpa waitara jimbo
Tarime ipi mkuu? Tarime unaweza badilikiwa hata siku mbili kabla ya uchaguzi, kuna mambo ya koo e.g Wakira,Watimbaru,Wairegi,Wanyabhasi....na kuna machungu ya mapigano na manyanyaso ya enzi za kale, yakiimbwa katika ngoma za jadi hata kama watu hawakuwa wamezaliwa zama hizo, wakasikia tafsiri za hivi "waliwagecha mikono babu zetu,wakaimba ng'ombe wetu...wakauwa watoto". Kesho watu wanaamka na kusema " huyu mgombea ana hoja nzuri na amesoma,ila ni Mtimbaru Mubhibii(Mtimbaru mbayaa) tusimpigie, ndio tusimpigie hahaha.Pagumu pale
 

Kumbe wote ni wababe!!!.Mura andaa panga.
 
Huyu huyu waitara aliyekimbia wakurya wa ukonga wauza mayai au mwingine?,,ndio wa kumshinda HECHE?AISEE Kuwa serious...muraa

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app

Ndiyo huyohuyo aliyewakimbia wanaume wa Dar!!! Eti Kanda maalumu aitwe mwanaume!!! Wameidhalilisha Tarime.
 
nilikua Tarime hapo juzi..naona Watu wanataka kumpa waitara jimbo
Tarime ipi mkuu?
Inawezekana Tarime mjini kwa Esther Matiko pakawa pagumu, lakini Heche ana nafasi kubwa ya kutoboa kama hakutakuwa na Figisu.
 
Hiki chama ni mdebwedo kweli awamu hii ya tano. Kinatoa maonyo lakini ukikimwagia NOTI wanalainika.

 
Waitara atashinda tu kwa kusaidiwa na vyombo vya dola,wakurugenzi ambao ni makada wa ccm bila hivyo waitara atatoka hoi bin taabani.
 
Mwanaume gani anajiuza.. huyu waitara ametudhalilisha sana. Wacha akachaguliwe ukonga huko. Hapa TARIME tunaenda na Heche
 
Dah Mungu awasaidie uishe kwa amani. Mkoa nilozaliwa wenye tashtiti nyingi tulizoea kupigana toka wadogo shuleni tunatafuta mbabe .Mwizi akikamatwa kipindi hicho lazima auliwe na mawe, aisee Tarime ni kanda nyingine. Nashukuru nilihama huko kabla sijaharibika. All in all nampenda Heche. Waitara sura imeharibika kwa pombe nilimuona ofisini kwake pale Tamisemi Nikashangaa.
 
Heche has better IQ by far kuliko Mwita, huyu Mwita, ile natural tribal arrogance yake haijaweza tolewa na elimu aliyopata UD, so ukiona mtu elimu au mazingira imeshindwa kutoa ujinga wake wa asili, nothing else can.
 
Nimefurahi sana na mchango wako, niambie na huyu nae sura yake imeharibika na pombe au laa?
 
Uchaguzi ukiwa huru na wa haki ni vigumu waitara kupata kura, kilichopo sasa ni uporaji wa jimbo kwa njia haramu zitazofanywa na mwita waitara
Acha fikra potovu, wananchi wanamkubali Waitara na Ccm kwa ujumla. Matapeli kama nyie Chadema hamna chenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…