Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,800
Mkuu wewe ni Watarime kweli ? Shemeji yangu Albert Gekura na ni kiongozi Chadema Tarime na nipo naye hapa na ananiambia safari hii nguvu lazima iongozwe haraka, mambo sio mepesi hivyo. The gound is Shifting. Na namba yake naweza kukutumia kwenye Inbox yako ukiiomba upate latest updates.Wewe kweli ni mwana Tarime, wagombea wote wawili ni wadogo zangu na mmoja ninatoka naye kijiji kimoja. Ni ngumu sana sana kwa Waitara kutoboa ingawa kwa sasa ni mwana CCM mwenzangu, ni ngumu sana kama itakavyokuwa ngumu kwa Dr Tulia pale Mbeya. Ili watangazwe ni lazima nguvu ya ziada itumike na si sanduku la kura. Mkuu ni ngumu sana ila inawezekana kwa siasa zetu za figisu.