Heche: Kabudi na Kitila walijulikana kwa kupiga kelele vyuoni, Kaijage amekamatwa Wahadhiri wako kimya!

Heche: Kabudi na Kitila walijulikana kwa kupiga kelele vyuoni, Kaijage amekamatwa Wahadhiri wako kimya!

Nakumbuka back in 2009/2010 pale Udsm by then Dr Kitila Mkumbo alikua anatufundisha course moja inaitwa SOCIAL PSYCHOLOGY,.. jamaa alikua anatulisha madini kuhusu saikolojia ya binadamu including wanasiasa, aisee ilikua good moment sana...

Mnaenda zenu Nkurumah pale mnasikiliza nondo za akina Palamagamba Kabudi, Dr Lwaitama, Dr Mvungi, Dr Bashiru Ally... Ilikua ni nondo mwanzo mwisho..

Yaani ile UDASA ilikua generation moja tamu, Dr Mkumbo ni moja ya watu walionipa conscious sana... Siku hizi nikimwangalia mpaka nachoka, wale jamaa zangu tuliofundishwa nae huwa tunapigiana simu hatuamini macho yetu.
Rudi kwenye 'notes' zako kutakuwa na jibu.
"SOCIAL PSYCHOLOGY", umesema? Anza na 'definition', maana yake ni nini. Najuwa atakuwa ameanzia huko kwenye hizo 'notes' ulizoandika, au 'Handout' aliyowakabidhi mwanzo kabisa wa somo hilo.

Anatekeleza tu, yale aliyokuwa akiwafundisha katika nadharia.
 
Hili limenishangaza sana. Zamani kulikuwa na Kitila, Beregu, Kabudi, Shivji, Rwaitama. Walikinukisha live wakitoa hoja za kupinga..Tena palepale UDSM

Ni kama tumerudi enzi za mkoloni
 
Rudi kwenye 'notes' zako kutakuwa na jibu.
"SOCIAL PSYCHOLOGY", umesema? Anza na 'definition', maana yake ni nini. Najuwa atakuwa ameanzia huko kwenye hizo 'notes' ulizoandika, au 'Handout' aliyowakabidhi mwanzo kabisa wa somo hilo.

Anatekeleza tu, yale aliyokuwa akiwafundisha katika nadharia.
😅🤣😂
 
Nakumbuka back in 2009/2010 pale Udsm by then Dr Kitila Mkumbo alikua anatufundisha course moja inaitwa SOCIAL PSYCHOLOGY,.. jamaa alikua anatulisha madini kuhusu saikolojia ya binadamu including wanasiasa, aisee ilikua good moment sana...

Mnaenda zenu Nkurumah pale mnasikiliza nondo za akina Palamagamba Kabudi, Dr Lwaitama, Dr Mvungi, Dr Bashiru Ally... Ilikua ni nondo mwanzo mwisho..

Yaani ile UDASA ilikua generation moja tamu, Dr Mkumbo ni moja ya watu walionipa conscious sana... Siku hizi nikimwangalia mpaka nachoka, wale jamaa zangu tuliofundishwa nae huwa tunapigiana simu hatuamini macho yetu.
Ilikiwa moto sana na hakukiwa na shida yoyote. Ila saivi CCM wanataka watu wote tuwe kama wao
 
Kuna jambo la kipekee sana limewapata waTanzania. Napata shida sana kuelewa imekuwakuwaje hadi tukafikia kwenye hatua duni kama tuliyo nayo sasa hivi.

Huu mfano wa waTanzania kuuliwa kikatili kabisa umetuingia ndani kabisa, hata kutamka tu maneno ya kupinga uovu linakuwa tatizo?.
Kila mtu analinda kwake, asipate madhara!
Baada ya October 29 , watanganyika waliamka Tanganyika haitowahi kuwa ile walioijua mafisadi.

Watu walimkataa ajuza wa Kizimkazi hata licha ya kujipa ushindi hewa na kujiapisha kwa mitutu bado anazidiwa ushawishi kwa kiwango kikubwa na Lissu aliyepo gerezani Ukonga , wamejaribu kutumia machawa na media ila bado hauziki huyu ajuza msaada wake wa mwisho ni policcm.
 
hauziki huyu ajuza msaada wake wa mwisho ni policcm.
Mimi nadhani tutakuwa sahihi zaidi tukisema "Msaada wake wa mwisho" ni Camillius Wambura, na Generali Mkunda; na pengine sehemu kubwa ya BAKWATA.

Bila ya hawa Samia asingedumu hata wiki moja kwenye madaraka haramu.
 
Ilikiwa moto sana na hakukiwa na shida yoyote. Ila saivi CCM wanataka watu wote tuwe kama wao
Ilikua moment nzuri sana, kuna mtu hapo kaniongezea nondo zingine nilikua nimezisahau kama Prof Issa Shivji, Prof Baregu.. Nkurumah hall palikua panawaka moto, enzi hizo walikua wanakuja wanazuoni mbalimbali kutoka sehemu mbalimbali duniani... Kwenye vyuo bora Africa Udsm ilikua haitoki top five.
 
Ndiyo shida ya kuwa na watawala wa juu ambao hawakusoma (au wenye elimu mbalimbali). Hawajui umuhimu wa uhuru wa kitaaluma
 
Back
Top Bottom