Rudi kwenye 'notes' zako kutakuwa na jibu.Nakumbuka back in 2009/2010 pale Udsm by then Dr Kitila Mkumbo alikua anatufundisha course moja inaitwa SOCIAL PSYCHOLOGY,.. jamaa alikua anatulisha madini kuhusu saikolojia ya binadamu including wanasiasa, aisee ilikua good moment sana...
Mnaenda zenu Nkurumah pale mnasikiliza nondo za akina Palamagamba Kabudi, Dr Lwaitama, Dr Mvungi, Dr Bashiru Ally... Ilikua ni nondo mwanzo mwisho..
Yaani ile UDASA ilikua generation moja tamu, Dr Mkumbo ni moja ya watu walionipa conscious sana... Siku hizi nikimwangalia mpaka nachoka, wale jamaa zangu tuliofundishwa nae huwa tunapigiana simu hatuamini macho yetu.
😅🤣😂Rudi kwenye 'notes' zako kutakuwa na jibu.
"SOCIAL PSYCHOLOGY", umesema? Anza na 'definition', maana yake ni nini. Najuwa atakuwa ameanzia huko kwenye hizo 'notes' ulizoandika, au 'Handout' aliyowakabidhi mwanzo kabisa wa somo hilo.
Anatekeleza tu, yale aliyokuwa akiwafundisha katika nadharia.
Ilikiwa moto sana na hakukiwa na shida yoyote. Ila saivi CCM wanataka watu wote tuwe kama waoNakumbuka back in 2009/2010 pale Udsm by then Dr Kitila Mkumbo alikua anatufundisha course moja inaitwa SOCIAL PSYCHOLOGY,.. jamaa alikua anatulisha madini kuhusu saikolojia ya binadamu including wanasiasa, aisee ilikua good moment sana...
Mnaenda zenu Nkurumah pale mnasikiliza nondo za akina Palamagamba Kabudi, Dr Lwaitama, Dr Mvungi, Dr Bashiru Ally... Ilikua ni nondo mwanzo mwisho..
Yaani ile UDASA ilikua generation moja tamu, Dr Mkumbo ni moja ya watu walionipa conscious sana... Siku hizi nikimwangalia mpaka nachoka, wale jamaa zangu tuliofundishwa nae huwa tunapigiana simu hatuamini macho yetu.
Baada ya October 29 , watanganyika waliamka Tanganyika haitowahi kuwa ile walioijua mafisadi.Kuna jambo la kipekee sana limewapata waTanzania. Napata shida sana kuelewa imekuwakuwaje hadi tukafikia kwenye hatua duni kama tuliyo nayo sasa hivi.
Huu mfano wa waTanzania kuuliwa kikatili kabisa umetuingia ndani kabisa, hata kutamka tu maneno ya kupinga uovu linakuwa tatizo?.
Kila mtu analinda kwake, asipate madhara!
Mimi nadhani tutakuwa sahihi zaidi tukisema "Msaada wake wa mwisho" ni Camillius Wambura, na Generali Mkunda; na pengine sehemu kubwa ya BAKWATA.hauziki huyu ajuza msaada wake wa mwisho ni policcm.
Unadhani kipi kingetokea?Just imagine kama ndugu Ezekia DibOgo Wenje ndio angekuwa kaimu Mwenyekiti wa Chadema. Sasa naanza kuelewa Ile msemo usemao Ndege wanaofanana huruka pamoja.
Ilikua moment nzuri sana, kuna mtu hapo kaniongezea nondo zingine nilikua nimezisahau kama Prof Issa Shivji, Prof Baregu.. Nkurumah hall palikua panawaka moto, enzi hizo walikua wanakuja wanazuoni mbalimbali kutoka sehemu mbalimbali duniani... Kwenye vyuo bora Africa Udsm ilikua haitoki top five.Ilikiwa moto sana na hakukiwa na shida yoyote. Ila saivi CCM wanataka watu wote tuwe kama wao
Chama kingeshiriki uchafuzi mkuu, kikaambulia wabunge 3. Kisha Mwenyekiti na Nani wake wangesema tunaunga mkono maendeleo yaliyopo ya nchi.Unadhani kipi kingetokea?
Na hao ndo wanaofundisha maendeleo ya ulaya kwamba yalitokana na industrial actionWahadhiri wote wapo kimyaaa!!! Najiuliza kama wasomi wanakuwa waoga kiasi hiki basi Tanzania ni zaidi ya kuzimu
Kitila anazidi kuwa na kichwa cha mviringo karibu atamfikia Makalla!Kabudi na Kitila midomo imejaa mafuta hawawezi kusema kitu. Hawa ni moja wa maprofesa wa hovyo kuwahi kutokea duniani.