Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Kakurwa.Na huyo kigogo bila shaka ni……
Kwanini Chauma,ACT kina Makala na Wasira Kila siku wanaisema Chadema wakati haishiriki uchaguzi?Siwashauri sana CHADEMA kusema ya wenzenu hasa kipindi hichi cha mchakato wa kuwapata wagombea..wewe mtoa mada unawasema CCM..Swali kwako..Kwanini Walioanzisha "No reforms no election" baadhi yao walikimbilia CHAUMMA na kuikataa tena hyo "No reforms no election"? Kwasasa pambania yakwako..TANZANIA BILA UWEPO WA VYAMA VYA SIASA ITABAKI NGANGARI.
BashiruKakurwa.
Ata kama kazi ya uchawa?Na huu ndio ukweli wenyewe.
Kazi ni kipimo cha utu
wewe bado saaana hujui kuchakata mambo unaongelea ushabiki, mimi hapa nasimama kama sio mwanachama,mshabiki na mfia chama ndo maana naona madhaifu kila upande..hujajibu swali ambalo ndani yake kuna majibu yako, unauliza swali namimi nikikuuliza, kwanini kila siku CHADEMA ni kuisema CCM kuliko vyama vingine? huoni kama tutakesha kuulizana maswali..Jibu rahisi ni ushindani wa kisiasa CHADEMA kutokushiriki uchaguzi haimanishi kwamba kwasasa Tanzania hakuna chama kinachoitwa CHADEMA midhali bado kipo lazima kisemwe hvo hvo ilikiendelee kuminywa kisiasa na nyie CHADEMA hvo hvo kwa CCM. Mimi kama mwananchi Nahitaji ushindani wa hoja za msingi..nasio chuki,vijembe,mauaji,udini,ukabila na ubeberu binafsi naitaji siasa safi ndo maana nasema:TANZANIA BILA VYAMA VYA SIASA ITABAKI KUWA NGANGARI.Kwanini Chauma,ACT kina Makala na Wasira Kila siku wanaisema Chadema wakati haishiriki uchaguzi?
Mwijaku anaingiza 7m per month kwa kazi ya uchawa.Ata kama kazi ya uchawa?
DuuhNdani ya CCM Kuna mambo ya kutisha.
Henche amesema sahivi Wana CCM wanampiga simu wanasema kuwa na wenyewe wanataka reforms.
Heche amesema kuna kigogo ndani ya CCM Kwakua mfumo haumuitaji siku ya usahili aliwekwa ndani Ili hasiende kwenye usahili.
Lakini pia amebainisha ya kwamba Majaliwa alienda kuchukua fomu akanyimwa.
Ni hivi CCM mtavuna mlichopanda. Ndani ya Chadema Lissu akifanya ujinga wanachama watampiga spana. Ila ma CCM yanaonewa kweli kweli afu yanaugulia maumivu Kwa ndani maana hayawezi kusema.
Ni kilio na kusaga meno kwa Wana CCM ambao mfumo hauwaitaji
Kupanga ni kuchagua. Hiyo 7m una uhakika nayo?Mwijaku anaingiza 7m per month kwa kazi ya uchawa.
Kuna Waalimu wanabaki na 300k kwa mwezi wakishakatwa mikopo.
Hehehe....chadema ilipiga chenga za MesiKwanini Chauma,ACT kina Makala na Wasira Kila siku wanaisema Chadema wakati haishiriki uchaguzi?
umeandika pumba sanawewe bado saaana hujui kuchakata mambo unaongelea ushabiki, mimi hapa nasimama kama sio mwanachama,mshabiki na mfia chama ndo maana naona madhaifu kila upande..hujajibu swali ambalo ndani yake kuna majibu yako, unauliza swali namimi nikikuuliza, kwanini kila siku CHADEMA ni kuisema CCM kuliko vyama vingine? huoni kama tutakesha kuulizana maswali..Jibu rahisi ni ushindani wa kisiasa CHADEMA kutokushiriki uchaguzi haimanishi kwamba kwasasa Tanzania hakuna chama kinachoitwa CHADEMA midhali bado kipo lazima kisemwe hvo hvo ilikiendelee kuminywa kisiasa na nyie CHADEMA hvo hvo kwa CCM. Mimi kama mwananchi Nahitaji ushindani wa hoja za msingi..nasio chuki,vijembe,mauaji,udini,ukabila na ubeberu binafsi naitaji siasa safi ndo maana nasema:TANZANIA BILA VYAMA VYA SIASA ITABAKI KUWA NGANGARI.
Hahahahahaaa!Ndani ya CCM Kuna mambo ya kutisha.
Henche amesema sahivi Wana CCM wanampiga simu wanasema kuwa na wenyewe wanataka reforms.
Heche amesema kuna kigogo ndani ya CCM Kwakua mfumo haumuitaji siku ya usahili aliwekwa ndani Ili hasiende kwenye usahili.
Lakini pia amebainisha ya kwamba Majaliwa alienda kuchukua fomu akanyimwa.
Ni hivi CCM mtavuna mlichopanda. Ndani ya Chadema Lissu akifanya ujinga wanachama watampiga spana. Ila ma CCM yanaonewa kweli kweli afu yanaugulia maumivu Kwa ndani maana hayawezi kusema.
Ni kilio na kusaga meno kwa Wana CCM ambao mfumo hauwaitaji