Heche kuna kigogo ndani ya CCM aliwekwa ndani Ili hasiende kwenye usahili wa ubunge.

Mungu lisaidie Taifa letu Tanzania

Epusha yote ya hatari yaliyo mbele yake

Kama sababu ni kuleta uhuru wa kweli, Eee Mungu Mwenyeenzi, mapenzi yako yatimie!

Nimekuwa naota ndoto sasa karibu kila uchwao, ni za vita na damu kumwagika

Mungu uturehemu
 
Siwashauri sana CHADEMA kusema ya wenzenu hasa kipindi hichi cha mchakato wa kuwapata wagombea..wewe mtoa mada unawasema CCM..Swali kwako..Kwanini Walioanzisha "No reforms no election" baadhi yao walikimbilia CHAUMMA na kuikataa tena hyo "No reforms no election"? Kwasasa pambania yakwako..TANZANIA BILA UWEPO WA VYAMA VYA SIASA ITABAKI NGANGARI.
Umepewa taarifa,itafakari.
 
Ndani ya CCM Kuna mambo ya kutisha.
Henche amesema sahivi Wana CCM wanampiga simu wanasema kuwa na wenyewe wanataka reforms.

Heche amesema kuna kigogo ndani ya CCM Kwakua mfumo haumuitaji siku ya usahili aliwekwa ndani Ili hasiende kwenye usahili.

Lakini pia amebainisha ya kwamba Majaliwa alienda kuchukua fomu akanyimwa.

Ni hivi CCM mtavuna mlichopanda. Ndani ya Chadema Lissu akifanya ujinga wanachama watampiga spana. Ila ma CCM yanaonewa kweli kweli afu yanaugulia maumivu Kwa ndani maana hayawezi kusema.

Ni kilio na kusaga meno kwa Wana CCM ambao mfumo hauwaitaji
Porojo hizi.Huko Chadomo mtu akijaribu kupinga Mwenyekiti ataishia kufukuzwa baada ya kudharirishwa na kutukanwa sana mitandao

Danganya nyumbu za huko Chadomo
 
Siwashauri sana CHADEMA kusema ya wenzenu hasa kipindi hichi cha mchakato wa kuwapata wagombea..wewe mtoa mada unawasema CCM..Swali kwako..Kwanini Walioanzisha "No reforms no election" baadhi yao walikimbilia CHAUMMA na kuikataa tena hyo "No reforms no election"? Kwasasa pambania yakwako..TANZANIA BILA UWEPO WA VYAMA VYA SIASA ITABAKI NGANGARI.
Ameandika upuuzi wakati hako kachama kao ndio kabisa kamejaa u hovyo hatari
 
Ndani ya CCM Kuna mambo ya kutisha.
Henche amesema sahivi Wana CCM wanampiga simu wanasema kuwa na wenyewe wanataka reforms.

Heche amesema kuna kigogo ndani ya CCM Kwakua mfumo haumuitaji siku ya usahili aliwekwa ndani Ili hasiende kwenye usahili.

Lakini pia amebainisha ya kwamba Majaliwa alienda kuchukua fomu akanyimwa.

Ni hivi CCM mtavuna mlichopanda. Ndani ya Chadema Lissu akifanya ujinga wanachama watampiga spana. Ila ma CCM yanaonewa kweli kweli afu yanaugulia maumivu Kwa ndani maana hayawezi kusema.

Ni kilio na kusaga meno kwa Wana CCM ambao mfumo hauwaitaji
Sasa hivi khabari ya mujini ni CCM tu na mchakato wake wa kutafuta wagombea wake mahiri kabisa kwa ajili ya mtanange wa Uchaguzi Mkuu. Hakuna cha No Reform, No Election. Hakuna cha Mdude wala hakuna cha Lissu kusingiziwa kesi. Kila mtu ni CCM tu. Yaani hadi Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche anafuatilia kwa makini sana!
Ahahahahaha! Hiyo ndio CCM bwana! Utaipenda tu!!
 
Back
Top Bottom