mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Umepewa taarifa,itafakari.Siwashauri sana CHADEMA kusema ya wenzenu hasa kipindi hichi cha mchakato wa kuwapata wagombea..wewe mtoa mada unawasema CCM..Swali kwako..Kwanini Walioanzisha "No reforms no election" baadhi yao walikimbilia CHAUMMA na kuikataa tena hyo "No reforms no election"? Kwasasa pambania yakwako..TANZANIA BILA UWEPO WA VYAMA VYA SIASA ITABAKI NGANGARI.
Yaaaaaani nifull shangweWapo wajinga ambao wanazani NORNE ni ya chadema peke yao;
SASA NA WAO KIMEWALAMBA
Porojo hizi.Huko Chadomo mtu akijaribu kupinga Mwenyekiti ataishia kufukuzwa baada ya kudharirishwa na kutukanwa sana mitandaoNdani ya CCM Kuna mambo ya kutisha.
Henche amesema sahivi Wana CCM wanampiga simu wanasema kuwa na wenyewe wanataka reforms.
Heche amesema kuna kigogo ndani ya CCM Kwakua mfumo haumuitaji siku ya usahili aliwekwa ndani Ili hasiende kwenye usahili.
Lakini pia amebainisha ya kwamba Majaliwa alienda kuchukua fomu akanyimwa.
Ni hivi CCM mtavuna mlichopanda. Ndani ya Chadema Lissu akifanya ujinga wanachama watampiga spana. Ila ma CCM yanaonewa kweli kweli afu yanaugulia maumivu Kwa ndani maana hayawezi kusema.
Ni kilio na kusaga meno kwa Wana CCM ambao mfumo hauwaitaji
Ameandika upuuzi wakati hako kachama kao ndio kabisa kamejaa u hovyo hatariSiwashauri sana CHADEMA kusema ya wenzenu hasa kipindi hichi cha mchakato wa kuwapata wagombea..wewe mtoa mada unawasema CCM..Swali kwako..Kwanini Walioanzisha "No reforms no election" baadhi yao walikimbilia CHAUMMA na kuikataa tena hyo "No reforms no election"? Kwasasa pambania yakwako..TANZANIA BILA UWEPO WA VYAMA VYA SIASA ITABAKI NGANGARI.
Sasa hivi khabari ya mujini ni CCM tu na mchakato wake wa kutafuta wagombea wake mahiri kabisa kwa ajili ya mtanange wa Uchaguzi Mkuu. Hakuna cha No Reform, No Election. Hakuna cha Mdude wala hakuna cha Lissu kusingiziwa kesi. Kila mtu ni CCM tu. Yaani hadi Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche anafuatilia kwa makini sana!Ndani ya CCM Kuna mambo ya kutisha.
Henche amesema sahivi Wana CCM wanampiga simu wanasema kuwa na wenyewe wanataka reforms.
Heche amesema kuna kigogo ndani ya CCM Kwakua mfumo haumuitaji siku ya usahili aliwekwa ndani Ili hasiende kwenye usahili.
Lakini pia amebainisha ya kwamba Majaliwa alienda kuchukua fomu akanyimwa.
Ni hivi CCM mtavuna mlichopanda. Ndani ya Chadema Lissu akifanya ujinga wanachama watampiga spana. Ila ma CCM yanaonewa kweli kweli afu yanaugulia maumivu Kwa ndani maana hayawezi kusema.
Ni kilio na kusaga meno kwa Wana CCM ambao mfumo hauwaitaji
MashakaNa huyo kigogo bila shaka ni……
Neutralization is vry important ili watanzania wapime.Umepewa taarifa,itafakari.
hawa ni miongoni mwa wasiojua kutumia ubongo wao vizuri..unapaswa kusema yako nayo tuyachakate.umeandika pumba sana