GE2025 Heche: Kuna watu walikuwa CHADEMA malengo yao yalikuwa ubunge

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
"Interest za viongozi zikiwa tofauti na za wananchi,wananchi hawatokuunga mkono. Sasa kuna watu walikuwa CHADEMA kumbe malengo yao ni kuwa wabunge na madiwani" - JOHN HECHE,Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
 
Hakuna tatizo, kila mtu anaangalia fursa.
 
"Interest za viongozi zikiwa tofauti na za wananchi,wananchi hawatokuunga mkono. Sasa kuna watu walikuwa CHADEMA kumbe malengo yao ni kuwa wabunge na madiwani" - JOHN HECHE,Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
View attachment 3397706
Wakaondoka hawakutaka amani ya nchi ivurugike wakiwa CDM kwa maslahi ya hisani toka CANADA
 
"Interest za viongozi zikiwa tofauti na za wananchi,wananchi hawatokuunga mkono. Sasa kuna watu walikuwa CHADEMA kumbe malengo yao ni kuwa wabunge na madiwani" - JOHN HECHE,Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
View attachment 3397706
Kwahiyo wewe kiliza ulikua CUF na kuhamia CDM ili uwe nani?
 
"Interest za viongozi zikiwa tofauti na za wananchi,wananchi hawatokuunga mkono. Sasa kuna watu walikuwa CHADEMA kumbe malengo yao ni kuwa wabunge na madiwani" - JOHN HECHE,Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
View attachment 3397706
Kapata kacheo tu keshasahau ubunge ni moja ya priorities za wanasiasa?
 
Mpumbavu kweli huyu, mbona ye malengo yake ni uongozi wa nchi (waziri)?!!!!!
 
Asingegombania nafasi yyt ya uongozi kwenye chama chake. Kujivika utakatifu
 
"Interest za viongozi zikiwa tofauti na za wananchi,wananchi hawatokuunga mkono. Sasa kuna watu walikuwa CHADEMA kumbe malengo yao ni kuwa wabunge na madiwani" - JOHN HECHE,Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
View attachment 3397706
Heche anakuwa disingenuous. Kutaka kuwa mbunge sio dhambi. Na sio kila mtu anaetaka ubunge ni kwa sababu ya maslahi yake binafsi. Wako wanaotaka ubunge ili waweze kuisimamia serikali, kutetea haki za wananchi na kuleta mabadiliko katika mifumo ya utawala. Yeye Heche na wenzake wamegombea mara kibao ubunge. Tuseme nao walikuwa wataka kujinufaisha binafsi? Ikiwa ni hivyo nitamuelewa maana mara nyingi amekuwa akielezea jinsi malipo ya wabunge ni kufuru lakini yeye na wenzake hawakuwahi kupeleka mswada bungeni wa kudai yapunguzwe.

Watu wameondoka CDM kwa sababu wanaamini kuwa moja ya sehemu sahihi ya kupambana na serikali na chama tawala ni bungeni. Kufanya hivyo sio dhambi. Kuwapaka matope hakutabadilisha usahihi wa hoja zao.

Amandla...
 
Wakaondoka hawakutaka amani ya nchi ivuruguke wakiwa CDM kwa maslahi ya hisani toka CANADA
Amani inayowanufaisha viongozi kwa gharama za kuwapumbaza, kuteka, kudhuru na kuua wananchi ni laana!
 
Heche anakuwa disingenuous. Kutaka kuwa mbunge sio dhambi. Na sio kila mtu anaetaka ubunge ni kwa sababu ya maslahi yake binafsi. Wako wanaotaka ubunge ili waweze kuisimamia serikali, kutetea haki za wananchi na kuleta mabadiliko katika mifumo ya utawala. Yeye Heche na wenzake wamegombea mara kibao ubunge. Tuseme nao walikuwa wataka kujinufaisha binafsi? Ikiwa ni hivyo nitamuelewa maana mara nyingi amekuwa akielezea jinsi malipo ya wabunge ni kufuru lakini yeye na wenzake hawakuwahi kupeleka mswada bungeni wa kudai yapunguzwe.

Watu wameondoka CDM kwa sababu wanaamini kuwa moja ya sehemu sahihi ya kupambana na serikali na chama tawala ni bungeni. Kufanya hivyo sio dhambi. Kuwapaka matope hakutabadilisha usahihi wa hoja zao.

Amandla...
Msiwe vipofu, yaliotokea 2019,2020,2024 mmeyaona? ni mjinga pekee atakeye kwenda kwenye uchaguzi Kwa mazingira haya tunajua huenda CCM wakalegeza Kwa vyama vya mfukoni ili ionekane CDM walikosea kutokushiriki uchaguzi
 
Kapata kacheo tu keshasahau ubunge ni moja ya priorities za wanasiasa?
Priority ni yale wanayotaka wananchi... Au huko kwenu mshabariki ya wanasiasa ni tofauti na ya wananchi?
Kama hujui... kwa sasa Wananchi wanataka reforms...!
 
Huyu nae, CDM ni chama cha siasa sio chama cha harakati, sasa kuna shida kwa wanachama kuwa na malengo ya kuwa wabunge au madiwani???Anaongea utafikiri ni dhambi.
 
Heche anakuwa disingenuous. Kutaka kuwa mbunge sio dhambi. Na sio kila mtu anaetaka ubunge ni kwa sababu ya maslahi yake binafsi. Wako wanaotaka ubunge ili waweze kuisimamia serikali, kutetea haki za wananchi na kuleta mabadiliko katika mifumo ya utawala. Yeye Heche na wenzake wamegombea mara kibao ubunge. Tuseme nao walikuwa wataka kujinufaisha binafsi? Ikiwa ni hivyo nitamuelewa maana mara nyingi amekuwa akielezea jinsi malipo ya wabunge ni kufuru lakini yeye na wenzake hawakuwahi kupeleka mswada bungeni wa kudai yapunguzwe.

Watu wameondoka CDM kwa sababu wanaamini kuwa moja ya sehemu sahihi ya kupambana na serikali na chama tawala ni bungeni. Kufanya hivyo sio dhambi. Kuwapaka matope hakutabadilisha usahihi wa hoja zao.

Amandla...
Wewe jamaa ni mjinga sana...
Chukulia mfano mdogo huku Zanzibar... bila wananchi kuhamasika, kuamka na kusimama kidete mpaka sasa ccm wanagekuwa wanateka na kuua watu!
Lakini miaka mingi ya kupigania HAKI yalizaa matunda! Mpaka sasa umoja wa kitaifa upo! Siasa za kutekana na kuuana ni kama zimepungua!
Kwa akili za wale kina Mrema, Mwalimu et al...unahisi wanaweza kumtetea yeyote zaidi ya matumbo yao?
Be real!
 
Heche anakuwa disingenuous. Kutaka kuwa mbunge sio dhambi. Na sio kila mtu anaetaka ubunge ni kwa sababu ya maslahi yake binafsi. Wako wanaotaka ubunge ili waweze kuisimamia serikali, kutetea haki za wananchi na kuleta mabadiliko katika mifumo ya utawala. Yeye Heche na wenzake wamegombea mara kibao ubunge. Tuseme nao walikuwa wataka kujinufaisha binafsi? Ikiwa ni hivyo nitamuelewa maana mara nyingi amekuwa akielezea jinsi malipo ya wabunge ni kufuru lakini yeye na wenzake hawakuwahi kupeleka mswada bungeni wa kudai yapunguzwe.

Watu wameondoka CDM kwa sababu wanaamini kuwa moja ya sehemu sahihi ya kupambana na serikali na chama tawala ni bungeni. Kufanya hivyo sio dhambi. Kuwapaka matope hakutabadilisha usahihi wa hoja zao.

Amandla...
Reasoning yako ni ndogo sana na iko below average, mtu mwenye akili na uelewa mzuri usio na shaka atakuelewa heche vizuri sana
 
Wakaondoka hawakutaka amani ya nchi ivuruguke wakiwa CDM kwa maslahi ya hisani toka CANADA
Unawaza kama darasa la 7B...! Ila Kwa mtu wa CCM hapo unaona umewaza sana na umechangia kitu Cha maana sana, kumbe upupu mtupu
 
Ni kwell kwa yaliyotokea 2019, 2020 na 2024 , Urais, Ubunge na hata Udiwani, kwa sasa haitakiwi kuwa KIPAUMBELE kwa Mwanasiasa yeyote MAKINI!
 
Back
Top Bottom