Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Hamna ambae hajaona. Kuwa kipofu ni kujiaminisha kuwa kususia uchaguzi utawafanya CCM wabadilike. Haijawahi kutokea ( rejea bunge la Katiba, Jecha, uchaguzi wa 2014) na haitatokea.Msiwe vipofu, yaliotokea 2019,2020,2024 mmeyaona? ni mjinga pekee atakeye kwenda kwenye uchaguzi Kwa mazingira haya tunajua huenda CCM wakalegeza Kwa vyama vya mfukoni ili ionekane CDM walikosea kutokushiriki uchaguzi
Na uko sahihi kuwa kutoshiriki kwa CDM kunawapa fursa kuendesha uchaguzi wa haki na wazi kwa sababu washindani wao wakubwa hawashiriki. Mtu mwenye nia ovu na CDM anaweza kusema kuwa huo ndio ulikuwa mpango wenyewe. CDM wasusie ili CCM waweze kulegitimise uchaguzi wa mwaka huu.
Chama cha kulaumiwa hapa ni CDM wala sio hivyo mnavyoita vya mfukoni. Mlionywa mkatia pamba masikioni na sasa mnatafuta mchawi.
Amandla...