Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Hamna ambae hajaona. Kuwa kipofu ni kujiaminisha kuwa kususia uchaguzi utawafanya CCM wabadilike. Haijawahi kutokea ( rejea bunge la Katiba, Jecha, uchaguzi wa 2014) na haitatokea.Msiwe vipofu, yaliotokea 2019,2020,2024 mmeyaona? ni mjinga pekee atakeye kwenda kwenye uchaguzi Kwa mazingira haya tunajua huenda CCM wakalegeza Kwa vyama vya mfukoni ili ionekane CDM walikosea kutokushiriki uchaguzi
Umeharibu kwa kuniita mjinga sana. Ukiniita tena sitakujibu.Wewe jamaa ni mjinga sana...
Chukulia mfano mdogo huku Zanzibar... bila wananchi kuhamasika, kuamka na kusimama kidete mpaka sasa ccm wanagekuwa wanateka na kuua watu!
Lakini miaka mingi ya kupigania HAKI yalizaa matunda! Mpaka sasa umoja wa kitaifa upo! Siasa za kutekana na kuuana ni kama zimepungua!
Kwa akili za wale kina Mrema, Mwalimu et al...unahisi wanaweza kumtetea yeyote zaidi ya matumbo yao?
Be real!
Sasa wewe mwenye uelewa zaidi yangu si uniambie nimekosea wapi? Hii kunikebehi hakubadilishi ukweli wa hoja yangu. Njia pekee ya kuonyesha mapungufu yake ni kuyaweka wazi na sio kunitusi.Reasoning yako ni ndogo sana na iko below average, mtu mwenye akili na uelewa mzuri usio na shaka atakuelewa heche vizuri sana
Alicho ongea Heche ni chepesi kabisa kukielewa na ni logic kwa mtu yeyote asiye na upambe vya vyama hata usipo kuwa mwana CAHDEMA ,lakini context ya alicho ongea iko bayana kabisa ila wewe unajifanya hujaelewa kisa mahaba yako ya ccm , huna tofauti na wanao mchukia gwajima kisa tuu kasema uhalisia wa mambo ulivyo uhalisia ulio mkwaza mwenyekiti nankwa vile mwenye kiti kakwazika eti CCM wote nao wanamchukio gejima na sio kuchuja kile alicho kiongea kama kina uzito kiasi gani,CCM mmekuwa watu wa mkumbo sana hamtaki kutumia utashi wenu na ndio mnalemaa kiakili na hamuisaidii nchi kabisa kwa kuwa mmekuwa wazalendo kwa watu badala ya kuwa wazalendo kwa nchi yenuSasa wewe mwenye uelewa zaidi yangu si uniambie nimekosea wapi? Hii kunikebehi hakubadilishi ukweli wa hoja yangu. Njia pekee ya kuonyesha mapungufu yake ni kuyaweka wazi na sio kunitusi.
Amandla...
Bado hujajibu swali. Ulichofanya ni kuimba pambio kwa ajili ya Heche. Hauna tofauti na chawa wengine. Jibu hoja. Kama hauwezi nyamaza ili wenye uelewa wakujibie. Sasa Gwajima kaingiaje hapa?Alicho ongea Heche ni chepesi kabisa kukielewa na ni logic kwa mtu yeyote asiye na upambe vya vyama hata usipo kuwa mwana CAHDEMA ,lakini context ya alicho ongea iko bayana kabisa ila wewe unajifanya hujaelewa kisa mahaba yako ya ccm , huna tofauti na wanao mchukia gwajima kisa tuu kasema uhalisia wa mambo ulivyo uhalisia ulio mkwaza mwenyekiti nankwa vile mwenye kiti kakwazika eti CCM wote nao wanamchukio gejima na sio kuchuja kile alicho kiongea kama kina uzito kiasi gani,CCM mmekuwa watu wa mkumbo sana hamtaki kutumia utashi wenu na ndio mnalemaa kiakili na hamuisaidii nchi kabisa kwa kuwa mmekuwa wazalendo kwa watu badala ya kuwa wazalendo kwa nchi yenu
We sio mpumbavu au sioMpumbavu mkubwa huyo!!
Wewe unaetumia akili za upokopoko wa vima(mchanganyiko wa mavi na mkojo) unaona Kila wanachoongea CDM ndio katiba,muulize Heche anaomba poohh Ili iweje,tunataka akinukishe kama sera yenu Ili naye akaogelee kwenye mtalo wa mavi na mkojo wa wafungwa huku akiyanywa maji hayo,Mabeberu kimya mnaomba maridhiano na nani,tiini mamlaka zilizowekwa na Mungu,mzee wa ubwabwa anachanja mbuga, Ili tukae mezani masharti yangu ni kuwa wanachadema wote vindakindaki kura zenu mpigie CCM halafu za wafuasi wenu ndio muhesabu ziwe zenu(masharti ya kuingia mezani).Unawaza kama darasa la 7B...! Ila Kwa mtu wa CCM hapo unaona umewaza sana na umechangia kitu Cha maana sana, kumbe upupu mtupu