Heche: Kwanini ulale njaa wakati Tanzania peke yake ndio yenye madini ya Tanzanite?

Heche: Kwanini ulale njaa wakati Tanzania peke yake ndio yenye madini ya Tanzanite?

Akizungumza katika mahojiano na Radio Mjini FM leo Julai 25, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amehoji kwa nini Watanzania walale njaa wakati Tanzania ndio nchi pekee yenye madini aina ya tanzanite duniani na yenye hifadhi kubwa za wanyama duniani?

View attachment 3418127
Huyu mtupu sana, hawa wanapiga kelele muda wa kampeni ukija uchaguzi anapata kura mbili katika wapiga kura laki moja.
 
Na Wasira alikili wazi wananchi bado wana njaa.
 
Back
Top Bottom