Elias Msuya
Platinum Member
- Dec 23, 2011
- 267
- 1,014
Njaa kama njaa,,nini ujaelewa mkuu??.. kama wewe uhijui njaa,basi ni wewe.Kwani Tanzania kuna sehemu wanalala njaa....? Au njaa gani kamaanisha huyu mkuria.
Chama kimevamiwaAkizungumza katika mahojiano na Radio Mjini FM leo Julai 25, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amehoji kwa nini Watanzania walale njaa wakati Tanzania ndio nchi pekee yenye madini aina ya tanzanite duniani na yenye hifadhi kubwa za wanyama duniani?
View attachment 3418127
Njaa naijua vema tena kuliko wewe. Swali ni je kuna mtanzania analala njaaNjaa kama njaa,,nini ujaelewa mkuu??.. kama wewe uhijui njaa,basi ni wewe.
Huyu mtupu sana, hawa wanapiga kelele muda wa kampeni ukija uchaguzi anapata kura mbili katika wapiga kura laki moja.Akizungumza katika mahojiano na Radio Mjini FM leo Julai 25, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amehoji kwa nini Watanzania walale njaa wakati Tanzania ndio nchi pekee yenye madini aina ya tanzanite duniani na yenye hifadhi kubwa za wanyama duniani?
View attachment 3418127
NdioooNjaa naijua vema tena kuliko wewe. Swali ni je kuna mtanzania analala njaa
kwahio tulale sasa tanzanite mauzo yatununulie chakula, kuna mda hicho chama ni kama lowasa hakuondoka vizuriNjaa kama njaa,,nini ujaelewa mkuu??.. kama wewe uhijui njaa,basi ni wewe.
PoleNdiooo