Heche na Mnyika wasaidiwe, wanacheza ngoma wasiyoijua

Waangalie usoni Heche na Mnyika utagundua kuwa wameshachoka
Utakuwa na vimelea vya ushoga wewe unawaangalia wanaume wenzako usoni hadi unajua kuwa wamechoka una uzoefu wa kuwachosha wanaume.
 
Mke wa Lissu amepewa kazi ubelgiji, watoto wake wanasomeshwa Marekani. Mke wa Lema amepewa kazi Canada na watoto wake wanasoma Canada. Haya ni mafao ya ukimbizi kwamba nchini kwao sio salama.

Ili mafao haya "manono" yaendelee kuwepo angalau watoto wamalize masomo, Tanzania lazima kusiwe shwari angalau hata kwao tu. Hii maana yake Lissu, Lema na wenzao wanaopata mafao ya ukimbizi hawezi kufurahia malidhiano hata kidogo. Faida yao hii ya ukimbizi inapatikana kwa "kukinukisha vibaya sana" kunakoweza kuzalisha majeruhi na kamatakamata ambayo itatokea mbele ya camera za watu wao ili kuhalalisha status yao ya ukimbizi.

Heche na Mnyika mafao kama haya hawajapati, wanaotumiwa tu. Familia zao tunazo hapahapa kama sisi. Wanacheza music wasiyojua.

Tafadhali sana watu Hawa Heche na Mnyika msiwapige kirungu Wala kuwakamata, wametingwa tu na mkumbo.
Haahaa kama kina kikwete, mke wake ni mgombea Pelee wa ubunge huko kusini, mtoto wake ni mgombea Pelee huko msoga, Samia mwanae ni mgombea ubunge huko Zanzibar, Mkwewe ni waziri wa tamisemi na mgombea ubunge huko rufiji.Orodha ni ndefu....
 
mtoto wa mwigulu nchemba anasoma fedha school ada ni ml 35 kwa mwaka . na hii nayo tunaitaje
Sawa jina la shule umeshindwa kuandika, basi jitahidi ufuatilie hata kiasi cha ada wanacholipa kabla ya kukimbilia kuandika uzushi mtandaoni.
 
Mke wa Lissu amepewa kazi ubelgiji, watoto wake wanasomeshwa Marekani. Mke wa Lema amepewa kazi Canada na watoto wake wanasoma Canada. Haya ni mafao ya ukimbizi kwamba nchini kwao sio salama.

Ili mafao haya "manono" yaendelee kuwepo angalau watoto wamalize masomo, Tanzania lazima kusiwe shwari angalau hata kwao tu. Hii maana yake Lissu, Lema na wenzao wanaopata mafao ya ukimbizi hawezi kufurahia malidhiano hata kidogo. Faida yao hii ya ukimbizi inapatikana kwa "kukinukisha vibaya sana" kunakoweza kuzalisha majeruhi na kamatakamata ambayo itatokea mbele ya camera za watu wao ili kuhalalisha status yao ya ukimbizi.

Heche na Mnyika mafao kama haya hawajapati, wanaotumiwa tu. Familia zao tunazo hapahapa kama sisi. Wanacheza music wasiyojua.

Tafadhali sana watu Hawa Heche na Mnyika msiwapige kirungu Wala kuwakamata, wametingwa tu na mkumbo.
Tena mke wa Heche ameajiriwa na Serikali hiii hii anayoiita mbovu na haifai! Yaani anataka kukata mti alioukalia!
 
Mke wa Lissu amepewa kazi ubelgiji, watoto wake wanasomeshwa Marekani. Mke wa Lema amepewa kazi Canada na watoto wake wanasoma Canada. Haya ni mafao ya ukimbizi kwamba nchini kwao sio salama.

Ili mafao haya "manono" yaendelee kuwepo angalau watoto wamalize masomo, Tanzania lazima kusiwe shwari angalau hata kwao tu. Hii maana yake Lissu, Lema na wenzao wanaopata mafao ya ukimbizi hawezi kufurahia malidhiano hata kidogo. Faida yao hii ya ukimbizi inapatikana kwa "kukinukisha vibaya sana" kunakoweza kuzalisha majeruhi na kamatakamata ambayo itatokea mbele ya camera za watu wao ili kuhalalisha status yao ya ukimbizi.

Heche na Mnyika mafao kama haya hawajapati, wanaotumiwa tu. Familia zao tunazo hapahapa kama sisi. Wanacheza music wasiyojua.

Tafadhali sana watu Hawa Heche na Mnyika msiwapige kirungu Wala kuwakamata, wametingwa tu na mkumbo.
Huu ndio ukweli mchungu kwa nyumbu wa Braza K.
 
Zile risasi Lisu alijipiga mwenyewe eti?
Kwanini hujiulizi ñi kwanini alipigwa risasi;yeye na siyo wewe, mbowe, Mnyika, rungwe, mbatia au Mzee wako wewe? Kwanini yeye?

Yule jamaa anapinga Kila kitu cha serikali. Kununua ndege anapinga, kujenga reli anapinga, kujenga bwawa la umeme anapinga, kuzuia makenikia anapinga, kubadilisha sheria za madini anapinga, ukipanua barabara anapinga, serikali ikikopa anapinga, royal tour anapinga, serikali ikifuta mikataba ya kinyonyaji anapinga. Anaungana na Kila mtu anaepinga serikali awe mzawa au mzungu. Kwenye Jimbo lake hana alichofanya zaidi ya kugombana na serikali kwenye Kila hoja. Ni nuisence.

Badala ya serikali kuhudumia wananchi inamhudumia yeye tu.
 
Lissu Sasa ana conflict of interest kati ya maslahi ya Tanzania na maslahi ya Ulaya. Maana ni mnufaika na nchi za Magharibi. Huyu analo deni la kulípa huko Ulaya n Marekani kwa kumhifadhi wakati anakorofishana na serikali yake, anaumwa, mkewe kufanya kazi huko na watoto wake kusomeshwa. Hivyo, hawezi kuwa Rais wa nchi hii kwasababu hivyo. Hataweza kuwatumikia mabwana wawili. Atauza nchi.
Hujanijibu swali langu badala yake unapiga porojo kibao mara confict of interest kuhusu Lissu na watoto wake hapa mada yako ni kuhusu mke wa Lissu sasa tuanzie hapo kumhusu mke wake kama ni Lissu tutamjadili mbele.

Nakuuliza swali langu tena nikiliweka tofauti kabla ya 2017 mke wa Lissu alikuwa anaishi Ubelgiji?

Narudisha swali la mwanzo tena ilikuwaje hadi mke wa Lissu akaenda Ubelgiji.

Hebu jibu hayo maswali usiwe kilaza kama wakili wa serikali kwenye kesi ya Lissu.
 
Kwanini hujiulizi ñi kwanini alipigwa risasi;yeye na siyo wewe, mbowe, Mnyika, rungwe, mbatia au Mzee wako wewe? Kwanini yeye?

Yule jamaa anapinga Kila kitu cha serikali. Kununua ndege anapinga, kujenga reli anapinga, kujenga bwawa la umeme anapinga, kuzuia makenikia anapinga, kubadilisha sheria za madini anapinga, ukipanua barabara anapinga, serikali ikikopa anapinga, royal tour anapinga, serikali ikifuta mikataba ya kinyonyaji anapinga. Anaungana na Kila mtu anaepinga serikali awe mzawa au mzungu. Kwenye Jimbo lake hana alichofanya zaidi ya kugombana na serikali kwenye Kila hoja. Ni nuisence.

Badala ya serikali kuhudumia wananchi inamhudumia yeye tu.
Kuwe na mipaka sijatamka baba yako mimi, achana na mzee wangu.
Kama mlikuwa hamtaki ipinzani kwanini mliruhusu upinzani miaka ile 90.
Haya sasa uchaguzi ubaki wa chama kimoja mmefurahi bakini na 1bunge lenu basi
 
Haahaa kama kina kikwete, mke wake ni mgombea Pelee wa ubunge huko kusini, mtoto wake ni mgombea Pelee huko msoga, Samia mwanae ni mgombea ubunge huko Zanzibar, Mkwewe ni waziri wa tamisemi na mgombea ubunge huko rufiji.Orodha ni ndefu....
Huo ndio utamaduni wa CCM. Angalia wakati wa awamu ya tano ni akina nani wangapi walirushiwa taulo. Lugha za ofisini ziligeuka kuwa za kabila moja tu.
 
Namuomba mungu usiwe na familia maana watoto wako hawana bahati kama ndo uwezo wa baba wa kufikilia huu wewe ni kama chimpanzi
 
RIZI WANI KIKWETE
SALMA KIKWETE
ABDULLA MWINYI
ABASI MWINYI
ASMA MWINYI
GEOFREY MIZENGO
MTOTO WA SAMIA WENU
MCHENGERWA
KIMBAO
MTOTO WA WASIRA
MTOTO WA MASABURI
Wewe jina lako lipo hapo? kama halipo endelea kuwa CHAWA Msalimie luca
Kwani majina yanajipeleka yenyewe? We umegombea wapi? Achaleni husda za kipuuzi, mtoto wa mwanasiasa atakuwa mwanasiasa, km babako ni mchawi unaridhi uchawi, km mkulima wa jembe la mkono utakuwa hivyo, lalamikia ukoo wako.
 
Baba ni polisi ni rahisi kuwa polisi kuliko kuwa mwalimu. Uwezekano wa wewe kuchimba majaruba ya mpunga ni mkubwa kama umezaliwa na kuyakuta majaruba ya baba yako. Ninachokataa ni mtoto wa mwanasiasa kupita bila kupingwa; hiyo ndiyo sio sawa.
 
Hili rungu fupi,nene halina comeback
Mke wa Lissu amepewa kazi ubelgiji, watoto wake wanasomeshwa Marekani. Mke wa Lema amepewa kazi Canada na watoto wake wanasoma Canada. Haya ni mafao ya ukimbizi kwamba nchini kwao sio salama.

Ili mafao haya "manono" yaendelee kuwepo angalau watoto wamalize masomo, Tanzania lazima kusiwe shwari angalau hata kwao tu. Hii maana yake Lissu, Lema na wenzao wanaopata mafao ya ukimbizi hawezi kufurahia malidhiano hata kidogo. Faida yao hii ya ukimbizi inapatikana kwa "kukinukisha vibaya sana" kunakoweza kuzalisha majeruhi na kamatakamata ambayo itatokea mbele ya camera za watu wao ili kuhalalisha status yao ya ukimbizi.

Heche na Mnyika mafao kama haya hawajapati, wanaotumiwa tu. Familia zao tunazo hapahapa kama sisi. Wanacheza music wasiyojua.

Tafadhali sana watu Hawa Heche na Mnyika msiwapige kirungu Wala kuwakamata, wametingwa tu na mkumbo.
 
Utakuwa na vimelea vya ushoga wewe unawaangalia wanaume wenzako usoni hadi unajua kuwa wamechoka una uzoefu wa kuwachosha wanaume.
Wewe unaekwenda kusikiliza kesi badala ya mkewe ndiye mke wake.
 
angalia hiki kituko nacho kinaona wenye akili hawana akili mtaendelea kutumika kama karatasi za chooni tu nyie wenzenu wana mahesabu yao (siyo toilet paper ni karatasi za chooni )
Wenzao kuweko mahabusi ni ajira tayari, pesa inaingia huko ulaya. Oscar Kambona nae ilikuwa kama hivi. Watoto wa kiafrika wanaosomeshwa na nchi za magharibi ni hatari sana kwa nchi za Afrika; ni vibaraka wao wanaporudi kwenye mataifa yao, na watahakikisha wanawapandikiza kufanyakazi nyeti au sehemu nyeti wanaporudi kwenye nchi zao.
 
Back
Top Bottom