Heche na Mnyika wasaidiwe, wanacheza ngoma wasiyoijua

Mke wa Lissu amepewa kazi ubelgiji, watoto wake wanasomeshwa Marekani. Mke wa Lema amepewa kazi Canada na watoto wake wanasoma Canada. Haya ni mafao ya ukimbizi kwamba nchini kwao sio salama.

Ili mafao haya "manono" yaendelee kuwepo angalau watoto wamalize masomo, Tanzania lazima kusiwe shwari angalau hata kwao tu. Hii maana yake Lissu, Lema na wenzao wanaopata mafao ya ukimbizi hawezi kufurahia malidhiano hata kidogo. Faida yao hii ya ukimbizi inapatikana kwa "kukinukisha vibaya sana" kunakoweza kuzalisha majeruhi na kamatakamata ambayo itatokea mbele ya camera za watu wao ili kuhalalisha status yao ya ukimbizi.

Heche na Mnyika mafao kama haya hawajapati, wanaotumiwa tu. Familia zao tunazo hapahapa kama sisi. Wanacheza music wasiyojua.

Tafadhali sana watu Hawa Heche na Mnyika msiwapige kirungu Wala kuwakamata, wametingwa tu na mkumbo.
Wewe umepewa baiskeli ukapige nayo kura. Mwigulu familia yake ipo Dar ni mbunge wa Iramba Singida na mtoto wake anasoma Fedha kwa ada Tshs.3500000/.

Mandela na Thabo Mbeki hawakuambiwa na makaburu mbona familia zao zipo Tanzania

Huna akili ya kujua Lissu siyo adui yako wala Lema isipokuwa anayekufanya ng'ombe wa mama,anakutaka uende VETA baada ya chuo kikuu, halafu familia yake ipo nchini inapewa ubunge waliotengewa

Angalia kama jina lako lipo hapa:Samia Wanu
Nchegerwa
Mwinyi
Mwinyi
Mwinyi
Mwinyi
Salimia Kikwete
Ridhika Kikwete
Wasira
Mize ngo Pinda
 
Mbona wewe mumeo amepewa u-VEO mafao ya kusifia na hatusemi?
Sawa mume wangu mm kapewa uveo, lakini sina mandondocha wanaonitumikia. Hii ni tofauti sana na akina Lissu. Lema na Maria ambao wana misukule yao wanayoitumia kufanikisha kusudi lao. Wamepiga marufuku wenzao wasiokuwa na kitu kugombea hata udiwani wa viti maalum. Mshikemshike tunduni hii imewaadhiri wengi waliokuwa na ndoto za kuagana na umaskini kupitia udiwani na ubunge. Wamegeuzwa human shield na watu ambao wana kusudi lao la siri.

Hivi ni wapumbavu wangapi watakuwa tayari kukinukisha bila kujua nani atawatibu kama wataumizwa na majeshi yetu na watanzania wenye hasira kali, bila kuwa na passport na nauli ya kuikimbia nchi kama hali itakuwa ngumu sana kwao. Wanahamasishwa na watu ambao wana pesa za kutumia na makazi salama huko ulaya, canada, Kenya na marekani. Wanahamasishwa kukinukisha na watu ambao familia zao ziko sehemu salama huko ng'ambo. Hata kama kusoma hujui hata picha huioni?

Sijawahi kuona mpinzani ambae anapinga kila kitu cha serikali, yaani anapinga hata Rais akitaka kuoga maji bafuni.
 
Mjinga mkubwa wewe, endelea kusindikiza wala nchi utabaki na umasikini wako milele, kazi kushangilia upumbavu huku ukoo wako unatafunwa na umasikini, kama familia zao zipo Ulaya basi wana akili kubwa, wewe na mumeo mmeshindwa hata kuishi chumba cha self wenzio familia zao zipo Ulaya, ukoo wenu wote hakuna aliyewahi kufika Ulaya. Shame on you
 
Sasa ulaya kuna issue gani ya maana, hizo ni dalili za wazi za brain washed syndrome. Mimi namshuru Mungu sina ndugu wala mtoto aliyepanga chumba cha kulala; niko fit wewee. Ila mm ninawasikitikia nyie mnaotumia ubongo wa Lissu na Lema mkidhani mna kusudi moja; akili za kuambiwa mmeshinda kabisa kuchanganya na akili zenu.

Hivi, hata kama mtu ana mtindio wa ubongo hawezi kuamini kama Tanzania kuna mtu anaeweza kuzuia watu wasiende kuchagua na kuvuruga uchaguzi halafu akaendelea na maisha yake kama mtu mwingine. Wazungu wanawadanganya kuwa watawasaidia chochote kwasababu wao ni wanufaika wakubwa wa utawala wa CCM. Wazungu wana uwekezaji mkubwa sana humu kwetu na wanafahamu kuwa Tanzania iko vizuri sana kiutawala, demokrasia na utoaji haki kwa viwango vya Afrika.

Ukiona mtu ametekwa ujue kuwa mtekaji na mtekwaji wanafahamiana na aliyetekwa anafahamu nani amemteka na sababu ya kumteka. Ndiyo mama wewe hukutekwa.

Kule kijiji kwetu kama mtu nyumba yake ikiunguzwa, moja kwa moja atakuwa anamjua aliyeiunguza hata kama hatamtaja mbele za watu. Na sababu ya kuunguza nyumba yake atakuwa anaijua.

Lissu alikuwa anajua lazima atakamatwa kwa yale anayopanga na kuyasema; lakini pia alikuwa anajua kuwa kusudi lake litatimia kama atakamatwa. Kukamatwa kwake ndio mtaji mkuu kwa familia yake kuendelea kuishi ulaya na kupata mafao ya ukimbizi. Nyie wengine wote (nyumbu) mnamsindikiza tu.
 
Mke wa Lissu amepewa kazi ubelgiji, watoto wake wanasomeshwa Marekani. Mke wa Lema amepewa kazi Canada na watoto wake wanasoma Canada. Haya ni mafao ya ukimbizi kwamba nchini kwao sio salama.

Ili mafao haya "manono" yaendelee kuwepo angalau watoto wamalize masomo, Tanzania lazima kusiwe shwari angalau hata kwao tu. Hii maana yake Lissu, Lema na wenzao wanaopata mafao ya ukimbizi hawezi kufurahia malidhiano hata kidogo. Faida yao hii ya ukimbizi inapatikana kwa "kukinukisha vibaya sana" kunakoweza kuzalisha majeruhi na kamatakamata ambayo itatokea mbele ya camera za watu wao ili kuhalalisha status yao ya ukimbizi.

Heche na Mnyika mafao kama haya hawajapati, wanaotumiwa tu. Familia zao tunazo hapahapa kama sisi. Wanacheza music wasiyojua.

Tafadhali sana watu Hawa Heche na Mnyika msiwapige kirungu Wala kuwakamata, wametingwa tu na mkumbo.
Ni kweli aloyasema.
Kwani tundulissu alikuwa hajuwi kuwa akisema maneno yale ataitwa mhaini.?

Na ataka matwa. Alikuwa akijuwa na alifanya kusudi ili akamatwe na afunguliwe kesi sababu jumuiya zanje zitatowa mapesa kuwapa chadema na kumsupport.

Serikali imeingia kwenye mtego huu bila kujuwa.
 
Serikali haikuingia kwenye mtego wowote, inatimiza majukumu yake bila kujali "the world is watching". Lissu anapata pesa nyingi kwa kukamatwa, ndiyo maana hataki malidhiano na serikali. Malidhiano yanamtia umaskini; ndiyo maana alikuwa anapinga njia za mbowe za kuendesha siasa. Kama mwanasheria alijua kuwa neno "kuasi" dhidi ya serikali litamtia mahabusu. Wanaomfuata hawahui walitendalo, they are being used.
 
Mke wa Lissu amepewa kazi ubelgiji, watoto wake wanasomeshwa Marekani. Mke wa Lema amepewa kazi Canada na watoto wake wanasoma Canada. Haya ni mafao ya ukimbizi kwamba nchini kwao sio salama.

Ili mafao haya "manono" yaendelee kuwepo angalau watoto wamalize masomo, Tanzania lazima kusiwe shwari angalau hata kwao tu. Hii maana yake Lissu, Lema na wenzao wanaopata mafao ya ukimbizi hawezi kufurahia malidhiano hata kidogo. Faida yao hii ya ukimbizi inapatikana kwa "kukinukisha vibaya sana" kunakoweza kuzalisha majeruhi na kamatakamata ambayo itatokea mbele ya camera za watu wao ili kuhalalisha status yao ya ukimbizi.

Heche na Mnyika mafao kama haya hawajapati, wanaotumiwa tu. Familia zao tunazo hapahapa kama sisi. Wanacheza music wasiyojua.

Tafadhali sana watu Hawa Heche na Mnyika msiwapige kirungu Wala kuwakamata, wametingwa tu na mkumbo.
Hawa ni sikio la kufa halisikii dawa
 
sidhani kama umetumia uwezo wako wote waakili katika kulifikiria uliloandika au hata kufanya research ya suala zima la taratibu za ukimbizi.

Kuna wakati tuwe tunachimba kidogo kupata details sio kwasababu ya kuja kuandika JF ila hata kwa manufaa binafsi na familia zetu maana kuna siku pia nasi kuna vitu tutavihitaji.

ndani ya mitaa ya Khost - Afghanistan
🙋✍️👍👏🤝🙏
 
Mke wa Lissu amepewa kazi ubelgiji, watoto wake wanasomeshwa Marekani. Mke wa Lema amepewa kazi Canada na watoto wake wanasoma Canada. Haya ni mafao ya ukimbizi kwamba nchini kwao sio salama.

Ili mafao haya "manono" yaendelee kuwepo angalau watoto wamalize masomo, Tanzania lazima kusiwe shwari angalau hata kwao tu. Hii maana yake Lissu, Lema na wenzao wanaopata mafao ya ukimbizi hawezi kufurahia malidhiano hata kidogo. Faida yao hii ya ukimbizi inapatikana kwa "kukinukisha vibaya sana" kunakoweza kuzalisha majeruhi na kamatakamata ambayo itatokea mbele ya camera za watu wao ili kuhalalisha status yao ya ukimbizi.

Heche na Mnyika mafao kama haya hawajapati, wanaotumiwa tu. Familia zao tunazo hapahapa kama sisi. Wanacheza music wasiyojua.

Tafadhali sana watu Hawa Heche na Mnyika msiwapige kirungu Wala kuwakamata, wametingwa tu na mkumbo.
We hujitambui
 
heche akisoma hapa moyo utadunda puuh, then atajipa moyo
Lissu ni mtanzania mwenzetu, ni mswahili, ana wazazi, ndugu wakubwa kwa wadogo, ni mwanasheria na ni Senior citizen. Anajua lugha zinazotumika kwa wakubwa zake, viongozi, watoto na kisheria. Lakini Lissu anaweza kutumia lugha Kali, mbichi yenye ukakasi na ugwadu kuweza kuitumia hadharani kwa viongozi wa nchi. Yaani inapokuja mambo ya siasa anasahau Kila kitu cha Tanzania na kukumbuka Kila kitu cha wazungu.

Anatumia lugha ambayo hata Mnyika na Heche hawawezi kuitumia hata kama wakikasirika namna gani. Na ni rafiki wa media za Magharibi maana the world is watching.
 
Hawa ni sikio la kufa halisikii dawa
Ukweli hata Mnyika na Heche nadhani wamewekwa tu betri mpya na Lissu na Lema ambao wana kusudi ambalo limesokotewa kwenye siasa, huku wakijua kuwa wao wana faida ambazo wenzao hawana. Wao wana fursa ya kukimbilia kwenye balozi za EU hapa nchini na kusafirishwa hadi Ulaya.
 
Riziwan kapewa jimbo
Baba ako kakupa nn
Elimu nzuri na taaluma kama yake. Yaani mimi ni baba mtupu.

Ni mimi mwenyewe ambae sijawaza kuwa mbunge siku moja. Watoto wangu kila mmoja alitaka kuwa kama mimi, na watoto 3 wakawa kama mimi. Na niliwasaidia wawe kama mimi kwa kutumia ushawishi wangu kwa wafanya maamuzi na marafiki zangu wa utotoni na ukubwani. Kuna wakati hata kwa kupenyeza kitu kidogo.
 
Back
Top Bottom