albab
JF-Expert Member
- Jul 6, 2018
- 2,201
- 3,703
Salaam...
Soma hapa Tetesi: - CHADEMA na vikao vya siri kuelekea maandamano ya Oktoba 29
Huu msiba ni kivuli tu mpango wa mwanzo ulikua itumike njia ya mtandao kuanzia tarehe 17/10/2025 na sio kwamba HECHE hakujua nini kitatokea mpakani ni basi tu kutengeneza unrest kama hizi ndio malengo makuu ya CDM kwa sasa.
Nawakumbusha tena CDM mipango yenu iko kwenye meza za watu wanaimonitor taratibu. Ni mkubali suala la uchaguzi mshaharibu au mnyooshwe.
Ewe Nyumbu karibu kwa matusi.