Wewe ndiyo nyumbu mkubwa, kwani Heche ndiyo kasababisha Odinga kufariki? Kumzuia kwenda msibani maana yake nini ?ungeacha aende msibani bila wewe kuzuia passport yake mda huu ungekuwa unatengeneza hizi propaganda za uongo? Acheni ujinga wenu acheni kufikiri watu ni wajinga kama weweSalaam...
Soma hapa Tetesi: - CHADEMA na vikao vya siri kuelekea maandamano ya Oktoba 29
Huu msiba ni kivuli tu mpango wa mwanzo ulikua itumike njia ya mtandao kuanzia tarehe 17/10/2025 na sio kwamba HECHE hakujua nini kitatokea mpakani ni basi tu kutengeneza unrest kama hizi ndio malengo makuu ya CDM kwa sasa.
Nawakumbusha tena CDM mipango yenu iko kwenye meza za watu wanaimonitor taratibu. Ni mkubali suala la uchaguzi mshaharibu au mnyooshwe.
Ewe Nyumbu karibu kwa matusi.
Eti mleta mada ndiyo mtetezi wa ccm! Kwa kweli ccm ya sasa imejaa vilazaNdio umeandika nini sasa, ng'ombe wa Mama?
This is an actual bullshit umeandika hapa, msiba ni suala la kijamii, msiba hauna mipakaSalaam...
Soma hapa Tetesi: - CHADEMA na vikao vya siri kuelekea maandamano ya Oktoba 29
Huu msiba ni kivuli tu mpango wa mwanzo ulikua itumike njia ya mtandao kuanzia tarehe 17/10/2025 na sio kwamba HECHE hakujua nini kitatokea mpakani ni basi tu kutengeneza unrest kama hizi ndio malengo makuu ya CDM kwa sasa.
Nawakumbusha tena CDM mipango yenu iko kwenye meza za watu wanaimonitor taratibu. Ni mkubali suala la uchaguzi mshaharibu au mnyooshwe.
Ewe Nyumbu karibu kwa matusi.
Wakati mwanzo naandika Raila alikua hai brotherWewe ndiyo nyumbu mkubwa, kwani Heche ndiyo kasababisha Odinga kufariki? Kumzuia kwenda msibani maana yake nini ?ungeacha aende msibani bila wewe kuzuia passport yake mda huu ungekuwa unatengeneza hizi propaganda za uongo? Acheni ujinga wenu acheni kufikiri watu ni wajinga kama wewe
Nyumbu ni msioweza kutumia akili hata kuvukia ule mto masai mara, 29.oct.usiikimbie tu hata ile baiskeli ya hongo!Salaam...
Soma hapa Tetesi: - CHADEMA na vikao vya siri kuelekea maandamano ya Oktoba 29
Huu msiba ni kivuli tu mpango wa mwanzo ulikua itumike njia ya mtandao kuanzia tarehe 17/10/2025 na sio kwamba HECHE hakujua nini kitatokea mpakani ni basi tu kutengeneza unrest kama hizi ndio malengo makuu ya CDM kwa sasa.
Nawakumbusha tena CDM mipango yenu iko kwenye meza za watu wanaimonitor taratibu. Ni mkubali suala la uchaguzi mshaharibu au mnyooshwe.
Ewe Nyumbu karibu kwa matusi.
Dogo unachekesha sana. Watanzania sasa wamekataa kuendelea kuibiwa na kuuawa kinyama namna hii. Oktoba 29 ni siku ya UKOMBOZI KWA TANGANYIKA HURU.Salaam...