Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Ngoma bado mbichi hii. Ngoja tuone kama mtoto atalala na shilingi
Hapo ndipo wanaponimaliza. Hilo ndio swali ambalo G-55 walikuwa wanauliza siku zote. Hivi kwa sababu Chadema imejitoa basi wafuasi wa CCM, ACT-WAZALENDO, Chaumma, CUF n.k. nao marufuku kupiga kura? Watafanikisha vipi suala hilo?duh
Watashiriki na Kuzuia kwa wakati mmoja?
Kama nilivyowaelewa mm, watafanikisha hilo kwa kuuzuia uchaguzi.Hapo ndipo wanaponimaliza. Hilo ndio swali ambalo G-55 walikuwa wanauliza siku zote. Hivi kwa sababu Chadema imejitoa basi wafuasi wa CCM, ACT-WAZALENDO, Chaumma, CUF n.k. nao marufuku kupiga kura? Watafanikisha vipi suala hilo?
Amandla...
Hayo ndio majibu ya kilaghai. Watauzuiaje usifanyike? Kuna aliyesema kuwa watu watalala nyumbani. Nasikia kuna wengine walisema kuwa watu watalala barabarani! Ulaghai mtupu.Kama nilivyowaelewa mm, watafanikisha hilo kwa kuuzuia uchaguzi.
Watazuiaje uchaguzi? Jibu: Kwa kuuzuia usifanyike.
No Reforms No ElectionMbona hujasema watauzuia? Just kwamba hautafanyika?
Umekuwa ukiwalaumu Chadema bila kutoa alternatives, hebu twambie wafanye nini. Je, washiriki tu uchaguzi na mambo yaendelee kuwa business as usual? Je, hao G-55 unao wasapoti hawakuwa sehemu ya maazimio ya NRNE? Je, Chama kikubaliane na U-turn ya G55? Toa alternatives zaidi ya lawama.Hayo ndio majibu ya kilaghai. Watauzuiaje usifanyike? Kuna aliyesema kuwa watu watalala nyumbani. Nasikia kuna wengine walisema kuwa watu watalala barabarani! Ulaghai mtupu.
Amandla...
G55 walitoa alternative na hamkuwasikiliza. Alternative ni kama msimamo wa ACT-WAZALENDO na G)-55. Shirikini kwenye uchaguzi na mpambane katika kila kituo kuhakikisha kura zenu zinahesabiwa na kutangazwa. Mnawalaumu G-55 kwa kufanya u-turn huku mkisahau mliofanya kwenye suala la maridhiano. G-55 walikuwa sehemu ya NRNE kama ambavyo uongozi wote wa CHADEMA ulikubali suala la Maridhiano.Umekuwa ukiwalaumu Chadema bila kutoa alternatives, hebu twambie wafanye nini. Je, washiriki tu uchaguzi na mambo yaendelee kuwa business as usual? Je, hao G-55 unao wasapoti hawakuwa sehemu ya maazimio ya NRNE? Je, Chama kikubaliane na U-turn ya G55? Toa alternatives zaidi ya lawama.
Yaani reforms zikifanyika WATASHIRIKI,zisipofanyika HAWASHIRIKI ambapo ili WASHIRIKI lazima reforms zifanyike na zikifanyika na ikaonekana hawamo kwenye karatasi ya kupigia kura,uchaguzi HAUTAFANYIKA.duh
Watashiriki na Kuzuia kwa wakati mmoja?
huyu kibaka mropokaji wa chadema iliyopoteza uelekeo kumbe yupo, dah ๐John Heche ameeleza kuwa kama msimamo wa kuzuia uchaguzi upo pale pale na kama CHADEMA haitokuwepo kwenye karatasi ya kupigia kura basi hakuna mtu atakayeenda kupiga kura
Aidha ameeleza kuwa ni aibu kwa mtu ambaye anapambania reforsm jambo ambalo pia ni miongoni mwa 4R za Rais eti anaitwa mhaini.
View attachment 3345103
huyu kibaka mropokaji wa chadema iliyopoteza uelekeo kumbe yupo, dah ๐
tuliza mihemko na chuki binafsi gentleman ikiwa huna hoja ๐Wewe mwenye uwendawazimu huwezi kutulia ili wenye akili timamu wajadili hoja?
Heche yuko sahihi kwa 100%. Vinginevo Mama Samia kwene 4R zake basi AIFUTE "R" inayosimama kwa ajili ya Reforms ili tujue moja.John Heche ameeleza kuwa kama msimamo wa kuzuia uchaguzi upo pale pale na kama CHADEMA haitokuwepo kwenye karatasi ya kupigia kura basi hakuna mtu atakayeenda kupiga kura
Aidha ameeleza kuwa ni aibu kwa mtu ambaye anapambania reforsm jambo ambalo pia ni miongoni mwa 4R za Rais eti anaitwa mhaini.
View attachment 3345103