PreGE2025 Heche: Ni aibu, mtu anayemkumbusha Rais kuhusu 4R kuitwa mhaini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
John Heche ameeleza kuwa kama msimamo wa kuzuia uchaguzi upo pale pale na kama CHADEMA haitokuwepo kwenye karatasi ya kupigia kura basi hakuna mtu atakayeenda kupiga kura

Aidha ameeleza kuwa ni aibu kwa mtu ambaye anapambania reforsm jambo ambalo pia ni miongoni mwa 4R za Rais eti anaitwa mhaini.
 
Msimamo uko palepale kwamba mabadiliko yafanyike na hata yakifanyika na CHADEMA ikaonekana haipo kwenye karatasi ya kupigiwa kura,uchaguzi hautafanyika.Safi.
 
Kuwekwa kwenye karatasi za kupigia kura siyo Reforms.

Tuliambiwa No Reforms No Election, siyo kuwekwa kwa kwenye karatasi za kupigia kura bila reforms.

CCM wanaweza kuweka jina la chama chenu kwenye karatasi za kupigia kura bila reforms zozote , je hiyo inatosha kuwafanya mshiriki uchaguzi?
 
duh

Watashiriki na Kuzuia kwa wakati mmoja?
Hapo ndipo wanaponimaliza. Hilo ndio swali ambalo G-55 walikuwa wanauliza siku zote. Hivi kwa sababu Chadema imejitoa basi wafuasi wa CCM, ACT-WAZALENDO, Chaumma, CUF n.k. nao marufuku kupiga kura? Watafanikisha vipi suala hilo?

Amandla...
 
Kama nilivyowaelewa mm, watafanikisha hilo kwa kuuzuia uchaguzi.

Watazuiaje uchaguzi? Jibu: Kwa kuuzuia usifanyike.
 
Hayo ndio majibu ya kilaghai. Watauzuiaje usifanyike? Kuna aliyesema kuwa watu watalala nyumbani. Nasikia kuna wengine walisema kuwa watu watalala barabarani! Ulaghai mtupu.

Umekuwa ukiwalaumu Chadema bila kutoa alternatives, hebu twambie wafanye nini. Je, washiriki tu uchaguzi na mambo yaendelee kuwa business as usual? Je, hao G-55 unao wasapoti hawakuwa sehemu ya maazimio ya NRNE? Je, Chama kikubaliane na U-turn ya G55? Toa alternatives zaidi ya lawama.
 
G55 walitoa alternative na hamkuwasikiliza. Alternative ni kama msimamo wa ACT-WAZALENDO na G)-55. Shirikini kwenye uchaguzi na mpambane katika kila kituo kuhakikisha kura zenu zinahesabiwa na kutangazwa. Mnawalaumu G-55 kwa kufanya u-turn huku mkisahau mliofanya kwenye suala la maridhiano. G-55 walikuwa sehemu ya NRNE kama ambavyo uongozi wote wa CHADEMA ulikubali suala la Maridhiano.
Siasa inahitaji strategy na pragmatism. Dada mmoja wa G-55 alisema kuwa ukiwasusia wali CCM wataondoka na sufuria. Yuko sahihi.

Amandla...
 
Halafu Mkwe anasema yuko teyari kutia uhai wake kutetea wizi wa kura.🤔
 
duh

Watashiriki na Kuzuia kwa wakati mmoja?
Yaani reforms zikifanyika WATASHIRIKI,zisipofanyika HAWASHIRIKI ambapo ili WASHIRIKI lazima reforms zifanyike na zikifanyika na ikaonekana hawamo kwenye karatasi ya kupigia kura,uchaguzi HAUTAFANYIKA.
 
John Heche ameeleza kuwa kama msimamo wa kuzuia uchaguzi upo pale pale na kama CHADEMA haitokuwepo kwenye karatasi ya kupigia kura basi hakuna mtu atakayeenda kupiga kura

Aidha ameeleza kuwa ni aibu kwa mtu ambaye anapambania reforsm jambo ambalo pia ni miongoni mwa 4R za Rais eti anaitwa mhaini.
View attachment 3345103
huyu kibaka mropokaji wa chadema iliyopoteza uelekeo kumbe yupo, dah 🐒
 
John Heche ameeleza kuwa kama msimamo wa kuzuia uchaguzi upo pale pale na kama CHADEMA haitokuwepo kwenye karatasi ya kupigia kura basi hakuna mtu atakayeenda kupiga kura

Aidha ameeleza kuwa ni aibu kwa mtu ambaye anapambania reforsm jambo ambalo pia ni miongoni mwa 4R za Rais eti anaitwa mhaini.
View attachment 3345103
Heche yuko sahihi kwa 100%. Vinginevo Mama Samia kwene 4R zake basi AIFUTE "R" inayosimama kwa ajili ya Reforms ili tujue moja.
 
Back
Top Bottom