Heche: Ni kweli hakuna upinzani, CHADEMA ni chama kikuu cha siasa nchini

Heche: Ni kweli hakuna upinzani, CHADEMA ni chama kikuu cha siasa nchini

Parabolic

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,922
Reaction score
3,252
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amemjibu Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC), Paul Chacha, akisema ni kweli Tanzania hakuna upinzani kwani CCM imegeuka kutoka kuwa chama cha siasa na kuwa genge la Dola lililojivalisha nguo za chama hicho.

Chacha aliitoa kauli hiyo Agosti 1, 2026 alipopokelewa jijini Dar es Salaam mara baada ya kuteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM Julai 29, 2026.

Soma zaidi: CCM wawasifia Mbowe, Mrema kwa “upinzani mkali”

Akizungumza Agosti 3, 2026, katika kikao na viongozi wa Chadema Wilaya ya Tarime mkoani Mara, Heche alisema, CHADEMA sio chama cha upinzani bali ni chama kikuu cha siasa.




 
Huyu jamaa huwa hana akili kabisa sijui hizo takwimu anazipataje?

USSR
 
Screenshot_20260616-173300~2.png
 
Back
Top Bottom