John Heche akihudhuria mazishi ya Sylverster Benson Nyangige aliyepigwa risasi ya kisogoni mgodini
View: https://m.youtube.com/watch?v=bqg33ul1HPA
John Heche asisitiza haiwezikani watu 11 wanauawa katika kipindi cha miezi 3 na mbunge hajapiga kelele, hatuwezi kunyamaza hili jambo liendelee ....
Marehemu Sylverster Benson Nyangige ameacha watoto 6, mmoja ana sickle cell pia wake wawili diwani wa CCM asema akiwa katika mazishi ya Sylvester ... na kushangaa kwa nini vijana wanauawa huku viongozi kama watendaji wa vijiji na serikali wapo kimya...