PreGE2025 Heche: Rais anasema sio wajibu wa serikali kutengeneza ajira, msoma ilani anasema watatengeneza ajira milioni 8

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara John Heche ameeleza kuwa nchi ya Tanzania inayo fursa ya kutengeneza ajira za kutosha kwa Watanzania iwapo tu kutakuwa na mifumo madhubuti ya kiutawala na kiutendaji ambayo amedai kuwa kwa sasa haipo.

Heche ameyasema hayo akizungumza na wananchi wa Moshi Mjini siku ya Ijumaa mkoani Kilimanjaro wakati chama hicho kikiendelea na kampeni yake ya No Reforms No Election kwa mikoa ya Kanda ya Kaskazini.

View attachment 3351705
CHADEMA hawana jipya ni kudandia tu maneno basi
 
Back
Top Bottom