The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
CHADEMA hawana jipya ni kudandia tu maneno basiMakamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara John Heche ameeleza kuwa nchi ya Tanzania inayo fursa ya kutengeneza ajira za kutosha kwa Watanzania iwapo tu kutakuwa na mifumo madhubuti ya kiutawala na kiutendaji ambayo amedai kuwa kwa sasa haipo.
Heche ameyasema hayo akizungumza na wananchi wa Moshi Mjini siku ya Ijumaa mkoani Kilimanjaro wakati chama hicho kikiendelea na kampeni yake ya No Reforms No Election kwa mikoa ya Kanda ya Kaskazini.
View attachment 3351705
Kina nani wana mapya?CHADEMA hawana jipya ni kudandia tu maneno basi
Si nafuu kingwendu ni mwanaumeKuna siku nchi hii itatawaliwa na Kingwendu!
kwani hayo maneno katunga HECHECHADEMA hawana jipya ni kudandia tu maneno basi
Kuna siku nchi hii itatawaliwa na Kingwendu!