Keep on dreaming, furaha yetu ni kuwaona mnahangaika namna hii.
Ile janjajanja yao ya kupenyeza rupia kwa mamuluki na waliofika bei itakoma tuMpaka ccm wawe tayari "ku bend over" Ili tuwapande,
Support!Ukiona adui yako anakusifia jiangalie mara mbili mbili, lkn ukiona vilio vimezidi jua umewashika panapostahili.
Hawa unaowasikia ni vispika tu endelea kukaza kamba hadi mwenye spika atokeze pua.
Atakayejitokeza fyekelea mbali, Tanga fyekelea mbali Morogoro fyekelea mbali, nasikia wapo wengi,
Ile barua iliyotumika Tanga na Morogoro iwekwe kwenye PDF, acha - - - - - kwenye sehemu ya jina, cheo na mkoa, akijitokeza mwingine ni kitendo cha dakika moja ku edit, fyekelea mbali hadi wateme mbung'o wapo wengi.
Watu waendelee kula hela za wajinga.Ile janjajanja yao ya kupebyeza rupiah kwa mamuluki na waliofika bei otakoma tu
Kwenye tone tone ulitoa sh ngapi nikurudishie.MBIVU MBICHI KUJULIKANA NA KIASI FEDHA CHOTE AMBACHO KIMEIBWA KUJULIKANA,HIVI KARIBUNI,...
#stay tunes............................,.
Utasubiri sana,mtasubiri sana na ulafi wenu kama mamba wenye njaa kali!
Zaidi alitoa majungu na uzushi mwingi wenye kuvunja moyo!Kwenye tone tone ulitoa sh ngapi nikurudishie.
Kwanza hata ukijua utafanya nini.
Nyie chadema wapenda haki na wachukia wizi na ubadhirifu kwanini mnaukumbatia #WIZI?Kwenye tone tone ulitoa sh ngapi nikurudishie.
Kwanza hata ukijua utafanya nini.
Safi sana john HecheUkiona adui yako anakusifia jiangalie mara mbili mbili, lkn ukiona vilio vimezidi jua umewashika panapostahili.
Hawa unaowasikia ni vispika tu endelea kukaza kamba hadi mwenye spika atokeze pua. Kaza kamba ili watu waendelee kula pesa za wajinga.
Atakayejitokeza fyekelea mbali, Tanga fyekelea mbali Morogoro fyekelea mbali, nasikia wapo wengi,
Ile barua iliyotumika Tanga na Morogoro iwekwe kwenye PDF, acha - - - - - kwenye sehemu ya jina, cheo na mkoa, akijitokeza mwingine ni kitendo cha dakika moja ku edit, fyekelea mbali hadi wateme mbung'o wapo wengi.
Waulize hapo mtaa wa kijani kwanza halafu uje humu,tena na majibu watakayo kupaNyie chadema wapenda haki na wachukia wizi na ubadhirifu kwanini mnaukumbatia #WIZI?