Heche: Tumesikitishwa sana na Jaji Mwanga amefanya mambo mabaya dhidi ya chama chetu na demokrasia ya nchi yetu

Heche: Tumesikitishwa sana na Jaji Mwanga amefanya mambo mabaya dhidi ya chama chetu na demokrasia ya nchi yetu

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 15, 2026 baada ya Mahakama ya rufaa kanda ya Dodoma kutengua zuio dhidi ya chama hicho kutofanya shughuli za siasa, Heche ameeleza walivyosikitishwa na namna Jaji Hamidu Mwanga aliyoendesha kesi hiyo

Soma pia PreGE2025 - John Heche: Jaji Mwanga ajitoe katika kusikiliza kesi yetu, CHADEMA hatuna imani naye

Relax makamu tumeshamaliza kazi
IMG-20260415-WA0001.jpg
 
Jaji Hamidu Mwanga ameilawiti Mahakama kwa upuuzi aliofanya kwenye kesi hii. Ashikwe bega mshenzi huyu
 
Huyu jaji wa mchongo bila shaka Mpemba huyu maamuzi ya ajabu kuwahi kutokea
 
Chama kimepitishwa tanurini na haitatokea tena

Vyama vya kwenye brifikesi vimejulikana
 
Back
Top Bottom