NANI AENDE JALALANI LABDA WAOKOTA MAKOPO.Hakuna nafasi ya kujadili mambo ya kihuni.
Mbona bwana ako Heche analalamika kuwa kakatazwa kufanya mkutano hapo hapo jalalani?NANI AENDE JALALANI LABDA WAOKOTA MAKOPO.
Alitaka kwenda kusafisha jalala.Mbona bwana ako Heche analalamika kuwa kakatazwa kufanya mkutano hapo hapo jalalani?
Unajua maana ya uhuni wewe?Hakuna nafasi ya kujadili mambo ya kihuni.Baada ya kwenda Mwembe Yanga huko au Tanganyika packers huko!
FailuresWamefanya vyema kuzuia hilo kongamano. Naipongeza UDSM.
Anandika John Heche kuwa;
"Chuo kikuu cha Dar es Salaam kwasasa kimegeuka kuwa kama shule ya msingi.
Wakati UDASA wana kongamano lao leo, Dupsa walinialika pia kwa kongamano.
Ajabu ni kwamba sehemu ambayo Inatakiwa kuwa chimbuko la fikra na mawazo wamezuia kongamano hili dakika za mwisho kabisa".
Dictators ni waoga sana!Anandika John Heche kuwa;
"Chuo kikuu cha Dar es Salaam kwasasa kimegeuka kuwa kama shule ya msingi.
Wakati UDASA wana kongamano lao leo, Dupsa walinialika pia kwa kongamano.
Ajabu ni kwamba sehemu ambayo Inatakiwa kuwa chimbuko la fikra na mawazo wamezuia kongamano hili dakika za mwisho kabisa".
Wangalienda MUM yaani Morogoro University of Muslim Upo ukumbi mzuri tuAnandika John Heche kuwa;
"Chuo kikuu cha Dar es Salaam kwasasa kimegeuka kuwa kama shule ya msingi.
Wakati UDASA wana kongamano lao leo, Dupsa walinialika pia kwa kongamano.
Ajabu ni kwamba sehemu ambayo Inatakiwa kuwa chimbuko la fikra na mawazo wamezuia kongamano hili dakika za mwisho kabisa".
Nyakati walizoishi wao hazifanani kabisa na hizi nyakati za mitandao ya kijamii.NYERERE NA KINA WALTER RODNEY WAKIFUFUKA LEO WATASHANGAA TULIVYORUDI NYUMA KWA HATUA MILIONI MOJA.
Utekaji ni maendeleo jinga lao?Wananchi wanataka maendeleo sio mijadala