Uko sahihi maana ukweli utakaoongelewa hapo ni mwiba kwa majizi ya kura na wauaji. Sioni ajabu kwa hatua hii, tawala zote zilizokuwa zinaenda kuanguka zilikuwa zinazuia hivihivi mafuriko kwa mikono.Wamefanya vyema kuzuia hilo kongamano. Naipongeza UDSM.
Jitahidi uwe na akiliWamefanya vyema kuzuia hilo kongamano. Naipongeza UDSM.
wewe umewahi kutekwa?Utekaji ni maendeleo jinga lao?
Swali la kijinga kabisa kutoka kwa mjinga.wewe umewahi kutekwa?
wewe mbona hujatekwa?Swali la kijinga kabisa kutoka kwa mjinga.
Hivi kwa sababu leo wewe sio mgonjwa na hujaenda hospitali , unafikiri hospitali leo hazifanyi kazi sababu wewe sio mgonjwa na kwa akili zako ukiamini hakuna wengine ambao ni wagonjwa?
Unafikiri kwamba sababu mimi sijatekwa ndio hakuna waliotekwa jinga lao?
Soka, Mzee Kibao, Mdude, Ben Saanane, Azori Gwanda, Dionizi Kipanya, Jacob Mlay, Kaswahili, Polepole na wengine wengi tu unafikiri hawa walienda sayari ya Mars ndio maana duniani hatuwaoni?
Jinga lao kwa sababu wewe sio mgonjwa na hujaenda hospitali leo ina maana hakuna wanaoumwa?wewe mbona hujatekwa?