Heche wajumbe kanda ya Ziwa, Lissu Kanda ya Kati, Msigwa na Mdude Nyanda ya juu Kusini, Mbowe hapo anatokaje? Kabaki na Sugu tu

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
Embu ona!

CHADEMA unapozungumzia watu wenye ushawishi, utamtaja Lisu, Heche, Lema, Mbowe na Sugu. Msigwa kama Msigwa angekuwa hajahama CHADEMA angekuwa kwenye top 6 ya viongozi wenye ushawishi CHADEMA.

Wajumbe wengi wa kanda ya Kati hawawezi kuacha kumsikiliza Lisu ndugu Yao ati wamsikilize Mbowe. Hiyo naturally inamkataa

Wajumbe ya kanda ya Ziwa hawawezi kumuacha Heche ati wamchague Mbowe yaani hiyo ni kitu ngumu. Wapo Wachache watafanya hivyo lakini wengi watamchagua Lisu kwa sababu tayari Heche kiongozi wao mwenye ushawishi kashatoa uelekeo.

Kusini, ingawaje Msigwa kahama kwenda CCM lakini bado anaushawishi kwa ukanda huo kwani yeye alidai ameonewa na Rushwa ilitumika kumuangusha. Jambo ambalo miezi iliyofuata tuhuma za Rushwa kutoka kwa Abdul kwenda kwa viongozi wa CHADEMA zilichachamaa. Hii itamaanisha wafuasi na wajumbe kutoka Kusini waliokuwa wafuasi wa Msigwa watamlipia Kisasi Msigwa kwa kumkataa Mbowe na Wenje.
Ukizingatia tayari wanaharakati kama Mdude CHADEMA ashatoa Msimamo wake kumuunga Mkono Lisu na bila Shaka Heche.

Sugu, ukimtazama Sugu ushawishi wake umepungua na kosa alilolifanya zaidi ni kujiunga na Mbowe ambaye siasa za Mbowe zipo mbali Sana na watu kutoka Nyanda za juu kusini hasa Mkoa wa Mbeya na Songwe.
Watu kutoka Mbeya ni watu wa Itikadi Kali hivyo unaona Kabisa hawatakubali Kumchagua Mbowe ambaye siasa na Msimamo wake ni ule uliopoa.
Hii inamaanisha Mikoa ya Iringa, Mbeya na Songwe lazima Lisu ashinde.
Kuna wanachadema wanamsikiliza Mwakabusi ingawaje Mwakabusi huenda sio CHADEMA.
Ukimtazama Mwakabusi siasa zake ni zile Kali zisizohitaji kubembelezana ambazo ndizo Nyanda za juu kusini wanazozihitajj.

Hapo atabaki, Lema.
Lema yeye yupo dilemma, Kwanza yeye ni mchagga. Hii inamuwia vigumu kufanya maamuzi aende na upande gani. Kumsaliti Mbowe Mchaga mwenzake au kwenda na Lisu mtu mwenye siasa Kali kama yeye alivyo. Siasa za kutokubembelezana.

Huyo Mbowe anashinda kutokea wapi?

Haya!
 
Tarehe ni 21/1.

Huku jf hakuna mpiga kura.

Hao wajumbe toka hizo kanda nani kasema wote wanawaunga viongozi wao mkono?
Kanda ya ziwa yupo Wenje na ni mtu maarufu pia
 
Wenje kwa Heche ni kama Panya mdogo mbele ya Simba.

Yaani watu wa kanda ya Ziwa hawawezi kumsikiliza Wenje kuliko kumsikiliza Heche.
Heche ni level za kitaifa wakai Wenje ni level ya Mkoa au pengine Kanda
 
Embu ona!

CHADEMA unapozungumzia watu wenye ushawishi, utamtaja Lisu, Heche, Lema, Mbowe na Sugu. Msigwa kama Msigwa angekuwa hajahama CHADEMA angekuwa kwenye top 6 ya viongozi wenye ushawishi CHADEMA.

Wajumbe wengi wa kanda ya Kati hawawezi kuacha kumsikiliza Lisu ndugu Yao ati wamsikilize Mbowe. Hiyo naturally inamkataa

Wajumbe ya kanda ya Ziwa hawawezi kumuacha Heche ati wamchague Mbowe yaani hiyo ni kitu ngumu. Wapo Wachache watafanya hivyo lakini wengi watamchagua Lisu kwa sababu tayari Heche kiongozi wao mwenye ushawishi kashatoa uelekeo.

Kusini, ingawaje Msigwa kahama kwenda CCM lakini bado anaushawishi kwa ukanda huo kwani yeye alidai ameonewa na Rushwa ilitumika kumuangusha. Jambo ambalo miezi iliyofuata tuhuma za Rushwa kutoka kwa Abdul kwenda kwa viongozi wa CHADEMA zilichachamaa. Hii itamaanisha wafuasi na wajumbe kutoka Kusini waliokuwa wafuasi wa Msigwa watamlipia Kisasi Msigwa kwa kumkataa Mbowe na Wenje.
Ukizingatia tayari wanaharakati kama Mdude CHADEMA ashatoa Msimamo wake kumuunga Mkono Lisu na bila Shaka Heche.

Sugu, ukimtazama Sugu ushawishi wake umepungua na kosa alilolifanya zaidi ni kujiunga na Mbowe ambaye siasa za Mbowe zipo mbali Sana na watu kutoka Nyanda za juu kusini hasa Mkoa wa Mbeya na Songwe.
Watu kutoka Mbeya ni watu wa Itikadi Kali hivyo unaona Kabisa hawatakubali Kumchagua Mbowe ambaye siasa na Msimamo wake ni ule uliopoa.
Hii inamaanisha Mikoa ya Iringa, Mbeya na Songwe lazima Lisu ashinde.
Kuna wanachadema wanamsikiliza Mwakabusi ingawaje Mwakabusi huenda sio CHADEMA.
Ukimtazama Mwakabusi siasa zake ni zile Kali zisizohitaji kubembelezana ambazo ndizo Nyanda za juu kusini wanazozihitajj.

Hapo atabaki, Lema.
Lema yeye yupo dilemma, Kwanza yeye ni mchagga. Hii inamuwia vigumu kufanya maamuzi aende na upande gani. Kumsaliti Mbowe Mchaga mwenzake au kwenda na Lisu mtu mwenye siasa Kali kama yeye alivyo. Siasa za kutokubembelezana.

Huyo Mbowe anashinda kutokea wapi?

Haya!
Mzee Kapigwa aisee
 
Wewe toka mwanzo wa mchakato ulikua unasema Lissu atashinda, nikawa sikuelewi elewi ila sasa kama naanza kukuelewa, kuna kitu ulikiona mapema sana.
Na pia Lissu kabla ya kuamua kuchukua fomu ya kuwania uenyekiti lazima alijipima kama anaweza mshinda mbowe
 
Kila Jambo na wakati wake.
Wewe ukiona watu hawakutaki wanataka mwingine unatakiwa ujiongeze. Vinginevyo utaongoza kimabavu Jambo ambalo hakuna aliyetayari kuongozwa kimabavu hasa kwa chama cha upinzani
 
Mbowe akumbuke hata baba yake Mzee Aikaeli alipomwachia kuongoza Mbowe hotel alimuachia akiwa na nguvu na Freeman akaibadili na kuita Blcana

Vivyo hivyo na yeye Sasa kukiachia chama kwa damu moto tuone Chadema iliyo changamka kama Bilcana ilivyo changamka

Heshima yake itabaki pale pale kama heshima ya Mzee wake Aikaeli ilivyo

Lisu hata kiuwa chama kwani atadhibitiwa na kamati Kuu ambayo Mbowe yumo
 
20250105_143955.jpg
 
Embu ona!

CHADEMA unapozungumzia watu wenye ushawishi, utamtaja Lisu, Heche, Lema, Mbowe na Sugu. Msigwa kama Msigwa angekuwa hajahama CHADEMA angekuwa kwenye top 6 ya viongozi wenye ushawishi CHADEMA.

Wajumbe wengi wa kanda ya Kati hawawezi kuacha kumsikiliza Lisu ndugu Yao ati wamsikilize Mbowe. Hiyo naturally inamkataa

Wajumbe ya kanda ya Ziwa hawawezi kumuacha Heche ati wamchague Mbowe yaani hiyo ni kitu ngumu. Wapo Wachache watafanya hivyo lakini wengi watamchagua Lisu kwa sababu tayari Heche kiongozi wao mwenye ushawishi kashatoa uelekeo.

Kusini, ingawaje Msigwa kahama kwenda CCM lakini bado anaushawishi kwa ukanda huo kwani yeye alidai ameonewa na Rushwa ilitumika kumuangusha. Jambo ambalo miezi iliyofuata tuhuma za Rushwa kutoka kwa Abdul kwenda kwa viongozi wa CHADEMA zilichachamaa. Hii itamaanisha wafuasi na wajumbe kutoka Kusini waliokuwa wafuasi wa Msigwa watamlipia Kisasi Msigwa kwa kumkataa Mbowe na Wenje.
Ukizingatia tayari wanaharakati kama Mdude CHADEMA ashatoa Msimamo wake kumuunga Mkono Lisu na bila Shaka Heche.

Sugu, ukimtazama Sugu ushawishi wake umepungua na kosa alilolifanya zaidi ni kujiunga na Mbowe ambaye siasa za Mbowe zipo mbali Sana na watu kutoka Nyanda za juu kusini hasa Mkoa wa Mbeya na Songwe.
Watu kutoka Mbeya ni watu wa Itikadi Kali hivyo unaona Kabisa hawatakubali Kumchagua Mbowe ambaye siasa na Msimamo wake ni ule uliopoa.
Hii inamaanisha Mikoa ya Iringa, Mbeya na Songwe lazima Lisu ashinde.
Kuna wanachadema wanamsikiliza Mwakabusi ingawaje Mwakabusi huenda sio CHADEMA.
Ukimtazama Mwakabusi siasa zake ni zile Kali zisizohitaji kubembelezana ambazo ndizo Nyanda za juu kusini wanazozihitajj.

Hapo atabaki, Lema.
Lema yeye yupo dilemma, Kwanza yeye ni mchagga. Hii inamuwia vigumu kufanya maamuzi aende na upande gani. Kumsaliti Mbowe Mchaga mwenzake au kwenda na Lisu mtu mwenye siasa Kali kama yeye alivyo. Siasa za kutokubembelezana.

Huyo Mbowe anashinda kutokea wapi?

Haya!
Heche na Lissu,watarudi uraiani!
Siasa ni sayansi!
Sayansi ni mahesabu.
 
Back
Top Bottom