Heche wajumbe kanda ya Ziwa, Lissu Kanda ya Kati, Msigwa na Mdude Nyanda ya juu Kusini, Mbowe hapo anatokaje? Kabaki na Sugu tu

Vyombo vimenusa harufu ya kukosekana kwa amani, kwenye uchaguzi wa Chadema
Kuna Kila dalili hakuna uchaguzi na mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti!
 
Umemusahau Godless Lema huko kanda ya kaskazini
 
Niwakumbushe wagombea manaomuunga mkono Lissu wameshindwa uchaguzi wa ndani,
 
Tarehe ni 21/1.

Huku jf hakuna mpiga kura.

Hao wajumbe toka hizo kanda nani kasema wote wanawaunga viongozi wao mkono?
Kanda ya ziwa yupo Wenje na ni mtu maarufu pia
Kwamba Unataka kutuaminisha wajumbe wa Chadema hawaingii humu Jf ???

Nachoamini kati mtandao wenye wanachama wengi wa Chadema ni Jf


Ndo maana hata Mh. Samia aliwaambia kule kwenye mkutano wao Moshi naingiaga kwenye mtandao wenu
 
Tulia, kimuhemihe cha nini - mshaambiwa BOX litaamua. Vip mshapata mawakala wetu yatari? ili msipate cha kusingizia.
 
Naam, but kitafail kama walivyofeli TLS kanda ya Ikulu haikumtaka lakini wajumbe wampa kura!!!
Labda kitufe cha Beberuz maana kinalipa ila mwishoni pia kitahitaji mkono wa shukran kwa gharama ya nchi. Twende nacho?
 
kwa sasa CHADEMA inamuhitaji sana LISSU kuliko MBOWE a.k.a Museveni
 
Lissu ana sapoti ya mitandaoni, makelele mengi ya wananchi n.k,,, Freeman ana sapoti ya wajumbe ambao ndio wapiga kura !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…