Heche wajumbe kanda ya Ziwa, Lissu Kanda ya Kati, Msigwa na Mdude Nyanda ya juu Kusini, Mbowe hapo anatokaje? Kabaki na Sugu tu

Wenje kwa Heche ni kama Panya mdogo mbele ya Simba.

Yaani watu wa kanda ya Ziwa hawawezi kumsikiliza Wenje kuliko kumsikiliza Heche.
Heche ni level za kitaifa wakai Wenje ni level ya Mkoa au pengine Kanda
Ila kuna sarakasi nawe unajua hili. Maajabu hutokea pia
 
Karata imechezwa sana , Lema alishaaga kimkakati...ndo katibu mkuu wa chama

Mbowe akalee wajukuu au binti yake wa maandamo yule hazaagi
 
Daaah mkuu uliona mbali sana... Lakini ndio kama ujuavyo LEMA NA YEYE NI TIMU LISSU. MBEYA YOTE TIMU LISSU..

MZEE MBOWE PUMZIKA TU!!!.
 
ZANZIBAR YOTE NI MBOWE,
KASKAZINI YOTE NI MBOWE
DAR YOTE NI MBOWE PWANI NA MOROGORO DODOMA NA TABORA NA BUKOBA NA KIGOMA NTWARA NA LINDI
KANDA YA ZIWA NI SEHEMU KIDOGO SANA YA NYUMBANI KWA HECHE NDO LISU ATAPATA KURA ILA SEHEMU KUBWA HAWAMPI KWA KUWA ALIMTUKANA NYERERE NA MKOA WA MWANZA ALIMTUKANA MAGUFULI.
WATU WACHACHE TU HIYO MIKOA WATAMPA LISU ILA HECHE WATAMPA MAANA ANA BUSARA KULIKO LISU NI BORA ANGEGOMBEA HECHE KULIKO LISU.
WANAOMUUNGA MKONO LISU NI WALE WAPENDA MATUSI
 

Itakuwa mgeni hii nchi, Zanzibar na CHADEMA wapi na wapi?
Au Pwani, au Tabora? Au lindi au Mtwara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…