PreGE2025 Heche: Wanaiba pesa kisha wanawapa wananchi vitenge na mitungi ya gesi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche akiongea na viongozi pamoja na wananchama wa chama hicho katika kikao cha ndani Kyela mkoani Mbeya ameeleza kuwa mali mbalimbali za Taifa zinataifishwa kwa watu wa mataifa ya nje mfano waarabu wamepewa baadhi ya viwanja vya ndege na Wachina wamekabidhiwa reli ya TAZARA kwa miaka 27.

Hache ameeleza kuwa watawala Wanapora uchaguzi kwa kutumia polisi wakati wa uchaguzi, na wanadhulumu.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
View attachment 3282896

Huyo bwege mdomo wake unaweza kusema lolote, huyo mdomo ni mchafu unanuka
 
Hatari kubwa ni kuwapeleka wananchi wakavunjwe miguu halafu hakuna fidia!
Kufisadi Mali za umma unaona sawa? Kweli wewe unaroho ya kishetani kabisa na hujitambui kabisa, yaani Mali za watanzania wachukue wageni wewe unafurahi!
 
Tangulia mirembe hospital kichwa chako kinawadudu!
 
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche akiongea na viongozi pamoja na wananchama wa chama hicho katika kikao cha ndani Kyela mkoani Mbeya ameeleza kuwa mali mbalimbali za Taifa zinataifishwa kwa watu wa mataifa ya nje mfano waarabu wamepewa baadhi ya viwanja vya ndege na Wachina wamekabidhiwa reli ya TAZARA kwa miaka 27.

Hache ameeleza kuwa watawala Wanapora uchaguzi kwa kutumia polisi wakati wa uchaguzi, na wanadhulumu.
View attachment 3282896
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Tumekumisi Romaaa! Rudi nyûbani Romaa, uwatete wadogo zako......×2
 
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche akiongea na viongozi pamoja na wananchama wa chama hicho katika kikao cha ndani Kyela mkoani Mbeya ameeleza kuwa mali mbalimbali za Taifa zinataifishwa kwa watu wa mataifa ya nje mfano waarabu wamepewa baadhi ya viwanja vya ndege na Wachina wamekabidhiwa reli ya TAZARA kwa miaka 27.

Hache ameeleza kuwa watawala Wanapora uchaguzi kwa kutumia polisi wakati wa uchaguzi, na wanadhulumu.
View attachment 3282896
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Acha wale bwana. Hizi pesa za umma hazina mwenyewe
 
Back
Top Bottom