Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Huyo bwege mdomo wake unaweza kusema lolote, huyo mdomo ni mchafu unanukaMakamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche akiongea na viongozi pamoja na wananchama wa chama hicho katika kikao cha ndani Kyela mkoani Mbeya ameeleza kuwa mali mbalimbali za Taifa zinataifishwa kwa watu wa mataifa ya nje mfano waarabu wamepewa baadhi ya viwanja vya ndege na Wachina wamekabidhiwa reli ya TAZARA kwa miaka 27.
Hache ameeleza kuwa watawala Wanapora uchaguzi kwa kutumia polisi wakati wa uchaguzi, na wanadhulumu.
View attachment 3282896
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Yupo na Mchome saivi. Mchome anazikunja tu fedha za Abdul saivi.Hivi Abdul kapotelea wapi?
Anapiga pesa MireraniHivi Abdul kapotelea wapi?
SureYupo na Mchome saivi. Mchome anazikunja tu fedha za Abdul saivi.
DaaahAnapiga pesa Mirerani
Kufisadi Mali za umma unaona sawa? Kweli wewe unaroho ya kishetani kabisa na hujitambui kabisa, yaani Mali za watanzania wachukue wageni wewe unafurahi!Hatari kubwa ni kuwapeleka wananchi wakavunjwe miguu halafu hakuna fidia!
Tangulia mirembe hospital kichwa chako kinawadudu!Kufisadi Mali za umma unaona sawa? Kweli wewe unaroho ya kishetani kabisa na hujitambui kabisa, yaani Mali za watanzania wachukue wageni wewe unafurahi!
Tumekumisi Romaaa! Rudi nyûbani Romaa, uwatete wadogo zako......×2Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche akiongea na viongozi pamoja na wananchama wa chama hicho katika kikao cha ndani Kyela mkoani Mbeya ameeleza kuwa mali mbalimbali za Taifa zinataifishwa kwa watu wa mataifa ya nje mfano waarabu wamepewa baadhi ya viwanja vya ndege na Wachina wamekabidhiwa reli ya TAZARA kwa miaka 27.
Hache ameeleza kuwa watawala Wanapora uchaguzi kwa kutumia polisi wakati wa uchaguzi, na wanadhulumu.
View attachment 3282896
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
😅😅😅Yupo na Mchome saivi. Mchome anazikunja tu fedha za Abdul saivi.
Acha wale bwana. Hizi pesa za umma hazina mwenyeweMakamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche akiongea na viongozi pamoja na wananchama wa chama hicho katika kikao cha ndani Kyela mkoani Mbeya ameeleza kuwa mali mbalimbali za Taifa zinataifishwa kwa watu wa mataifa ya nje mfano waarabu wamepewa baadhi ya viwanja vya ndege na Wachina wamekabidhiwa reli ya TAZARA kwa miaka 27.