PostGE2025 Heche: Wanazungumzia vituo kuchomwa moto, hawazungumzia kuhusu watu kupoteza maisha

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
"Wamekuwa wakizungumza kanakwamba maisha ya mtu ni kitu cha kawaida. Serikali dhalimu inazungumza kuhusu vitu, inazungumza kuhusu vituo vya mafuta haizungumzi kuhusu maisha ya watu. Embu tufikirie hamna watu, hizo barabara na vituo vya mafuta vina maana gani?." Mhe. John Heche.
 
Hao wana Siasa , wana harakati na baadhi ya taasisi kama hizo TEC nazo zina mchango wa umwagaji damu huo indirect nao nawaweka kapu moja tu kama Dola/Ccm wote mmeua vijana wetu kwa kila mtu na sababu zake za wazi na za sirini na bado mnataka damu zaidi wotee nyie

Mivutano iliyokuwepo kabla ya uchaguzi kuanzia tambo za tutakinukisha, tutafanya uasi na maneno kama ya kina Gwaji ya ajabu ajabu ni chanzo pia cha damu kumwagika

Haya hao waharakati (Mange ,Maria na wengineo) na kusema wananchi tutoke tutalindwa na taasisi ya ulinzi na tukapewa ujasiri na matumaini hewa na mwishoe kama tulienda kikaangoni nao walituuza na baadae wanajililisha ki nafiki na kutia huruma ili wapate sympathy ya jamii

Dola na hao wote nilio wataja wote wamemwaga damu kwa namna moja ama nyingine, na hakuna hata msafi hapo, wapo wanataka kuendelea kula nchi na wengine tuwapeleke kula nchi na kuna wengine kwa faida wanazo zijua na labda watakazo zipata kama hili saga likiendelea
 
CNN walishazungumza kuhusu hayo? Mbona haulizi kwanini CNN hawakuzungumzia uharibifu wa mali?
 
"Wamekuwa wakizungumza kanakwamba maisha ya mtu ni kitu cha kawaida. Serikali dhalimu inazungumza kuhusu vitu, inazungumza kuhusu vituo vya mafuta haizungumzi kuhusu maisha ya watu. Embu tufikirie hamna watu, hizo barabara na vituo vya mafuta vina maana gani?." Mhe. John Heche.
Ni watu wangapi wamekufa? Maana hesabu zina utata
 
Hao wana Siasa , wana harakati na baadhi ya taasisi kama hizo TEC nazo zina mchango wa umwagaji damu huo indirect nao nawaweka kapu moja tu kama Dola/Ccm wote mmeua vijana wetu kwa kila mtu na sababu zake za wazi na za sirini na bado mnataka damu zaidi wotee nyie

Mivutano iliyokuwepo kabla ya uchaguzi kuanzia tambo za tutakinukisha, tutafanya uasi na maneno kama ya kina Gwaji ya ajabu ajabu ni chanzo pia cha damu kumwagika

Haya hao waharakati (Mange ,Maria na wengineo) na kusema wananchi tutoke tutalindwa na taasisi ya ulinzi na tukapewa ujasiri na matumaini hewa na mwishoe kama tulienda kikaangoni nao walituuza na baadae wanajililisha ki nafiki na kutia huruma ili wapate sympathy ya jamii

Dola na hao wote nilio wataja wote wamemwaga damu kwa namna moja ama nyingine, na hakuna hata msafi hapo, wapo wanataka kuendelea kula nchi na wengine tuwapeleke kula nchi na kuna wengine kwa faida wanazo zijua na labda watakazo zipata kama hili saga likiendelea
Utter nonsense!
 
Ni upuuzi kujadili ujinga wa ccm humu.

Hata sijui unaanzaje kuwa mjinga kiasi hiki.

Chadema hayo wanayojadili ccm yanawahusu nini?
 
Sawa hatuwezi kufanana mitizamo yetu wewe tayari una upande mie nipo neutral mkuu, hauwezi kuona kama ninavyoona nawe hauwezi ona kama ninavyoona mie
sina upande na hizo pande ndo zinazidisha mgogoro
Najitahidi kuona ukweli tu na watu wengi hawataki kuona kwa sababu wana upande wao (na sio kitu kibaya) ila matokeo ya kila upande yanatakiwa kusemwa

Your “neutrality is complicity"! When you see a wrong and take no action, you’re, in effect, allowing the injustice to continue, making you complicit in it—you’re siding with the perpetrator!

Hakuna mpenda haki anayeweza kunyamazia vitendo vya kuteka, kutesa na/au kuua wakosoaji wa Serikali au kunyamazia ubakaji wa demokrasia! Kuyanyamazia haya, kimsingi, ni kuwa upande wa wahalifu.
 
Hao wana Siasa , wana harakati na baadhi ya taasisi kama hizo TEC nazo zina mchango wa umwagaji damu huo indirect nao nawaweka kapu moja tu kama Dola/Ccm wote mmeua vijana wetu kwa kila mtu na sababu zake za wazi na za sirini na bado mnataka damu zaidi wotee nyie

Mivutano iliyokuwepo kabla ya uchaguzi kuanzia tambo za tutakinukisha, tutafanya uasi na maneno kama ya kina Gwaji ya ajabu ajabu ni chanzo pia cha damu kumwagika

Haya hao waharakati (Mange ,Maria na wengineo) na kusema wananchi tutoke tutalindwa na taasisi ya ulinzi na tukapewa ujasiri na matumaini hewa na mwishoe kama tulienda kikaangoni nao walituuza na baadae wanajililisha ki nafiki na kutia huruma ili wapate sympathy ya jamii

Dola na hao wote nilio wataja wote wamemwaga damu kwa namna moja ama nyingine, na hakuna hata msafi hapo, wapo wanataka kuendelea kula nchi na wengine tuwapeleke kula nchi na kuna wengine kwa faida wanazo zijua na labda watakazo zipata kama hili saga likiendelea
Kama kila kitu kingefamyika katika haki damu isingemwagwa. Tatizo watu wanaona uongozi ni fursa ya kuwaibia pasipo kubanwa na sheria, wengine ndiyo maana wanatumia nguvu kuingia madarakani na hawataki sheria ziwabane ili wakiiba wasichukuliwe sheria wala kuulizwa. Jiulize kwa nini matokeo ya urais yasipingwe? Tatizonaweka udini kwenye vitu serious vya nchi. Na wewe na dini yako unanufaika nini na mtu wa dini yako akiwa madarakani au wenzetu hamlipi ada za watoto? Mna masoko yenu? Mnapewa fedha?
 
Dini ipi nimeweka , mie nakutajia wahusika wote wa sababu za damu kumwagika wale wa direct na indirect, hivi yake maneno ya kabla ya uchaguzi hayakuwa na athari na mengine yalitoka kwa wana siasa wa chama dola na upinzani au hao wanaharakati na taasisi za kidini hao wote wamechangia kumwagika kwa damu mie nawaweka ktk kapu la wauaji wotee
Na mbaya bado wanataka na wana hamu ya damu zaidi kumwagika na hasa ya vijana wetu kwa huu muelekeo unavyo onekana, shida nyie mna upande sie tunaagalia mambo kwa jicho huru
 
"Wamekuwa wakizungumza kanakwamba maisha ya mtu ni kitu cha kawaida. Serikali dhalimu inazungumza kuhusu vitu, inazungumza kuhusu vituo vya mafuta haizungumzi kuhusu maisha ya watu. Embu tufikirie hamna watu, hizo barabara na vituo vya mafuta vina maana gani?." Mhe. John Heche.

Yani engine ya boda oda ina value kuliko roho ya binadamu kwa sisiemu
 
Back
Top Bottom