Heche: Watanzania mjiulize, mnaifanyia nini nchi yetu ili vijana wapate ajira

Heche: Watanzania mjiulize, mnaifanyia nini nchi yetu ili vijana wapate ajira

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
"Watanzania popote mlipo hili swali tujiulize mnaifanyia nini nchi yetu, ilimadini yetu yarudi mikononi mwetu, ili vijana wapate ajira, ili mbuga zetu zitumike kwa ajili yetu, Tunaifanyia nini? sisi wote tunafanya nini?" - John Heche, Makamu mwenyekiti CHADEMA
 
TUNATENGENEZA KONGANI YA VIWANDA KWALA AMBAYO ITWAWEZA KUAJIRI VIJANA 50,000.
PIA JITIHADA MBALI MBALI ZINAENDELEA.
VIJANA LAKI 5, WAPO VETA KUSOMEA FANI MBALI MBALI ILI WAWEZE KUPATA UJUZI MBALI MBALI.
ZOTE HIZI NI JITIHADA ZA SEREKALI KATIKA KUWAKWAMUA VIJANA WAKE.
 
Mbona wakenya angalau wamesogea 80% ya kupata Uhuru na maendeleao sisi tupo 0% taasisi zote jeshi,mahakama,polisi,bunge,tiss wote ni viongozi wa CCM hapo kutoboa labda damu imwagike.
 
"Watanzania popote mlipo hili swali tujiulize mnaifanyia nini nchi yetu, ilimadini yetu yarudi mikononi mwetu, ili vijana wapate ajira, ili mbuga zetu zitumike kwa ajili yetu, Tunaifanyia nini? sisi wote tunafanya nini?" - John Heche, Makamu mwenyekiti CHADEMA
View attachment 3425887
Heche amechoka, amechanganyikiwa kabisa,chama kinamfia.
 
Vijana wa Tanzania hawana njaa wala tamaa ya maisha mazuri yenye uhuru na usawa kiuchumi na kisiasa,hii inawafanya wanakua wazito kupambania haki zao za kikatiba na za kuumbwa! Tunahitaji kuhamasishana kutochukulia poa thamani maisha yetu! Kila mtu anastahili kuishi vuzuri na sio kwa hisani ya watu wa ccm ambao nao ni kikundi kidogo ndio kinatuamulia tuishije! Mimi niko tayari kufa ili wanaokuja waishi katika nchi yenye usawa na bora!
 
Back
Top Bottom