The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Heche amechoka, amechanganyikiwa kabisa,chama kinamfia."Watanzania popote mlipo hili swali tujiulize mnaifanyia nini nchi yetu, ilimadini yetu yarudi mikononi mwetu, ili vijana wapate ajira, ili mbuga zetu zitumike kwa ajili yetu, Tunaifanyia nini? sisi wote tunafanya nini?" - John Heche, Makamu mwenyekiti CHADEMA
View attachment 3425887