Hehehe kwa style hii hawa magavana wetu sioni tukienda mbali

Mbona Mwanamke mwenyewe chibonge halafu kazeeka?

Tatizo ukiwa na mapungufu ya nguvu za kiume huwezi kuona chochote kizuri kwa mwanamke, unaanza vijisababu vya kulaumu unene, mara kazeeka mara hiki mara kile mara miguu mara mikono.
 
kwa mtazamo wako wewe, mhe waiguru tu ndio mwanamke mrembo Kenya??
huoni vile mijizee "yenyu" migavana inavyo mkodolea mimacho?.[emoji23] [emoji23]

yes,to you/them she could be the only beautiful woman in kenya(according to my experience).
 
huoni ili mijizee "yenyu" migavana inavyo mkodolea mimacho?.[emoji23] [emoji23]

yes,to you/them she could be the only beautiful woman in kenya(according to my experience).
Hahahaha... vipi mama yangu kwa urembo babaa?
 
Kuna jamaa anaitwa chebukati sijui ni nani katika serikali ya Kenya ila namkubali tu
 
nitakujibu kesho nikiwa kwenye mood zangu za kisirani cha blue monday.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha sawa baba na usiwe kisirani mingi tuma hela za kutosha sikukuu
 
Tatizo ukiwa na mapungufu ya nguvu za kiume huwezi kuona chochote kizuri kwa mwanamke, unaanza vijisababu vya kulaumu unene, mara kazeeka mara hiki mara kile mara miguu mara mikono.
Kuna jamaa yangu mmoja hao vibonge ndo type yake!
 
Duh wanaweza hata wakamuhonga hiyo county.

Inamaana Kenya hawana special seats za governors kama Tanzania.
Ni kama unasema kuna special seats za uraisi...u governor sio kama ubunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…