Hehehe!! Tz panazidi kuwa patamu, wafanyabiashara wacharazwa viboko na DC hadharani - video

Hehehe!! Tz panazidi kuwa patamu, wafanyabiashara wacharazwa viboko na DC hadharani - video

Huku tz ni vituko na wasiwasi kila iitwapo leo 🤣🤣🤣
 
Ningependa kuona wabunge wanachapwa viboko kwa kuongea 97%utopolo na kutunga bajeti hewa.
 
Uknifanyia hvyo Mimi,ntakutafuta mpaka mwsho wangu wa dunia utakapoisha,nashukuru mungu huniepusha na ufedhuri wa aina hii
 
Na hii karne ya 21, Muzungu angefanya hivyo tungeandamana black life matters, so sad mimi naamini kabisa Viongozi wa Tanzania ni psychopath, ...
Taratibu tunaanza ongea lugha moja. Kuna vitu vya kipuuzi vinafanyika tz na hakuna wa kukemea
 
Safi sana, mimi namshauri JPM, jembe la kweli, aendeleze utamaduni huu na wananchi wote Tz wawe wanapigwa viboko, angalau mara moja kwa wiki. Ikiwezekana aibuke na sheria ambayo itawalazimu watanzania wote wavae 'uniform'. Kengele pia iwe inapigwa kuashiria wakati wa kuamka, kusikiliza hotuba ya rais wao mpendwa, kuenda kazini, kula, kuimba nyimbo za kusifia chama, kulala, press repeat. Huo ndio mtindo pekee unaofaa kwa kiongozi yeyote yule anayepewa jukumu la kutawala maiti. #ZidumuFikraZaMwenyekiti
 
Halafu kuna mmoja ana mwili ulioshiba lakini naye akasalimu amri na kuchukua mboko sita. Mimi na wewe hatujarogwa ✊🏽
Me tooo aisee..

Hivi Watanzania alitulogaga nani?mie siwezi
 
Aaaah kumaninah ningemkata koromeo au ningeenda kumloga, ile loga ya kumuua mtu na sehem zipo nazijua kabisa za kufanya na kumaliza hio kazi, mzee hua anahitaji majina tu,
Umeongea kwa hisia sana, so sad kwa kweli aaaah
 
Yaani hadi raha, mwendo wa hukumu hapo kwa hapo...viboko...
Watanzania hunikumbusha mbali sana..dah!



HUYU BWANA UTOTO UNAMSUMBUA AMPIGIE SIMU DK KLERUU NINI KILICHOMPATA KULE IRINGA KWANI HAKUNA SHERIA ZA NCHI KUWASHTAKI MPAKA WACHAPWE KAMA WATOTO?
 
makajamba wa ccm utawaona hapa wakitetea huu upuuzi! yaani mwanaume alale chini apigwe viboko??
Mimi mmoja wao...unasemaje Sasa...michadema imecharazwa bakora kwa wizi
 
Back
Top Bottom