Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mtu una maono marefu nawakuingwa mbathi ya hardlined ccm juhajiths. Lugha safi.Kwangu mimi naona sawa kabisa hao wanaojiita wafanya biashara kucharazwa viboko.
Tanzania haiitaji wafanya biashara wa style hii, anamfundisha mwanafunzi jinsi ya kuaribu Mali za umma.
hii ni sawa na kuujumu uchumi kwa maana serikali inakuja kuingia galama.
Kuna mfano: juzi baada ya kuja kwa covid South
African Kuna watu wameiba mali na kualibu kabisa miundo mbinu ya reli.
Unajua nini kilicho tokea sio serikali tu iliyo gharamika kwa hilo, mpaka kwa mtu mmoja mmoja inamgaramia kwa sababu watu hutumia reli kwenda makazini,mashulen,na kadhalika ila Leo hii
Ndio maana naona sawa kabisa kwa hao wafanya biashara wa style hii kuadhibiwa kwa style hiyo ili iwe fundisho kwa wengne, alafu mambo ya kuadhibiwa kwa bakora kwa mwafrika ni kama jadi mababu na mababu zetu wameitumikia adhabu hiyo
Ndiyo kila mtu aliyoko apa jamii forum aijalishi ni mkenya, mganda au mtanzania Nina uhakika ashakula bakora
Suara la kucharazana bakora naomba tulione la kawaida tuu tukumbuke sisi ni wa africa tuna asili zetu za kufanya mambo yetu
Aya mambo ya katiba inasema nini wakati mwingine haitupi kile tunataka waafrika kwa sababu uwenda hizo kanuni atukuziandika sisi
Kwangu mimi naona sawa kabisa hao wanaojiita wafanya biashara kucharazwa viboko.

masikini ndio huwa hatumii akili sababu hana utulivu nayo.Miafrika bana, halafu huu ujinga hufanyiwa wasiokua na hela, walalahoi, kwa mfano hao wana biashara utakuta ni wa kiwango cha chini, yaani maskini bara hili ni laana. Nakumbuka kuna kipindi niliishi Zanzibar, kule wale huwa na desturi ya kucharaza viboko watu wanaokutwa wakila chakula kipindi cha ramadhani, ila nilichunguza vizuri nikaona huo uhayawani unafanyiwa maskini, lakini ukienda kwenye hoteli za kifahali watu wanakula misosi tu bila huu ujinga.
masikini ndio huwa hatumii akili sababu hana utulivu nayo.
maana mfanyabiashara makini na mwenye mtaji mkubwa hawezi kununua madawati ya shule akayeyushe vyuma.
mwenye pesa hawezi kula hovyo hovyo lazima atafute sehemu iliyotulia ale kwa utulivu,kitu ambacho wao wazanzibar wanataka.ukiwa mpumbavu ni fimbo ndio size yako,hakuna adhabu nyingine itakayouondoa upumbavu kichwani kwako.
masikini kwa mujibu wa $1.9,ila kwa mujibu wa njaa,hakuna wa kuwapiku sub sahara[emoji23],hata somalia pamoja na vita bado mmewaongoza.Ndio hicho hicho nimekisema, umaskini ni laana, na mtapigwa sana maana asilimia kubwa kwenu ni maskini, yaani 70%
masikini kwa mujibu wa $1.9,ila kwa mujibu wa njaa,hakuna wa kuwapiku sub sahara[emoji23],hata somalia pamoja na vita bado mmewaongoza.
hao ni wakenya wenzenu.Somalia pamoja na vita vyao hawajajaza omba omba kwetu mabarabarani kama nyie, ama kwa hakika mna gubu la umaskini nyie watu, pamoja na raslimali zote hizo ila nyie ndio nchi pekee Afrika hii ambayo raia wake wanakwenda kuomba omba kwenye barabara za mataifa ya watu.
Halafu miaka mitano ijayo ndio mtakoma maana mumefuta upinzani ambao kidogo walikua wanapaza sauti kila mkidhulumiwa na chama dola.
hao ni wakenya wenzenu.
ndio maana mmeshindwa kuwafanya waachane na hayo maisha sababu nayinyi jua kali tu kama wao[emoji38][emoji38][emoji38].
mnatakiwa muwabadirishe maisha yao.Tatizo tukiwarudisha kwao huko wanaitana na kuja maradufu ya walivyokua awali, mpaka tumekata tamaa na kuwaacha wazagae tu kote kote, mnaitia Afrika aibu.
masikini wa kutupwa ana rangi gani!!!Mvivu aliyezoea kuomba omba hawezi kubadilisha maisha hata kwa mtutu, na ndio maana nchi yenu bado maskini wa kutupwa licha ya raslimali zote hizo.
sio nyeusi na mbaya kama za kenya.Jiangalie na uangalie ndugu zako huko utaona hizo rangi zenu...
sio nyeusi na mbaya kama za kenya.
kenya unakuta demu mbovu mpaka unajiuliza,tatizo ni maji au jua kali[emoji23][emoji23][emoji23].
Haha taratibu tu mataga mmeanza kusadiki.Na hii karne ya 21, Muzungu angefanya hivyo tungeandamana black life matters, so sad mimi naamini kabisa Viongozi wa Tanzania ni psychopath, ...
kama vinabuma,ndio unavyoona kwa wenge la njaa,ila huoni kenya nzima ikibuma[emoji16][emoji16].Hauwezi kuiona maana mlishaizoea...
Halafu mbona kama vinabuma vyote Tujadili kushuka kwa kasi kasi ya Ujenzi wa Miradi ya Maendeleo nchini | JamiiForums
Rugemalira na Herbinder Singh wameiba mali ya umma mbona hawajachapwa bakora? Viongozi wangapi wa ccm ni wezi wa mali ya umma na hakuna anayedhubutu kuwacharaza bakora?Kwangu mimi naona sawa kabisa hao wanaojiita wafanya biashara kucharazwa viboko.
Tanzania haiitaji wafanya biashara wa style hii, anamfundisha mwanafunzi jinsi ya kuaribu Mali za umma.
hii ni sawa na kuujumu uchumi kwa maana serikali inakuja kuingia galama.
Kuna mfano: juzi baada ya kuja kwa covid South
African Kuna watu wameiba mali na kualibu kabisa miundo mbinu ya reli.
Unajua nini kilicho tokea sio serikali tu iliyo gharamika kwa hilo, mpaka kwa mtu mmoja mmoja inamgaramia kwa sababu watu hutumia reli kwenda makazini,mashulen,na kadhalika ila Leo hii
Ndio maana naona sawa kabisa kwa hao wafanya biashara wa style hii kuadhibiwa kwa style hiyo ili iwe fundisho kwa wengne, alafu mambo ya kuadhibiwa kwa bakora kwa mwafrika ni kama jadi mababu na mababu zetu wameitumikia adhabu hiyo
Ndiyo kila mtu aliyoko apa jamii forum aijalishi ni mkenya, mganda au mtanzania Nina uhakika ashakula bakora
Suara la kucharazana bakora naomba tulione la kawaida tuu tukumbuke sisi ni wa africa tuna asili zetu za kufanya mambo yetu
Aya mambo ya katiba inasema nini wakati mwingine haitupi kile tunataka waafrika kwa sababu uwenda hizo kanuni atukuziandika sisi
kama vinabuma,ndio unavyoona kwa wenge la njaa,ila huoni kenya nzima ikibuma[emoji16][emoji16].