Hehehe!! Tz panazidi kuwa patamu, wafanyabiashara wacharazwa viboko na DC hadharani - video

Hehehe!! Tz panazidi kuwa patamu, wafanyabiashara wacharazwa viboko na DC hadharani - video

Ndio tulishawapiga double kiuchumi na kila kitu na kwa mlivyoingiwa na mihemko ya kukurupukia miradi bila ramani au dira, sijui mtaifichia wapi aibu.
[emoji16][emoji16][emoji16]miradi ipo tz, aibu ukaone wewe,na hata huoni tatizo!!!!

bado tutajenga sana miradi dada angu haijalishi wewe unaona aibu au unaona uchungu.

hata dunia nzima inashangaa mmetudouble uchumi,lakini mnakufa na njaa wakati hatujui njaa ni kitu gani[emoji1][emoji1],,tena tunataka kuishusha mwaka huu isomeke $55bln[emoji23][emoji23][emoji23].
 
Rugemalira na Herbinder Singh wameiba mali ya umma mbona hawajachapwa bakora? Viongozi wangapi wa ccm ni wezi wa mali ya umma na hakuna anayedhubutu kuwacharaza bakora?

Au bakora ni kwa watu fulani tu?

Hizi bakora angekuwa anamchapa mwafrika kwa kosa hilo hilo mngekuwa mmekaukiwa mate kwa jinsi ambavyo mngepiga kelele
ruge na singh hawawezi kuchapwa fimbo maana wameiba pesa nyingi.

au ulitaka hawa pia wafungwe miaka 8 kwa wizi wa madawatu[emoji16][emoji16][emoji16],mnafikiri kwa kutumia akili za makamanda.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]miradi ipo tz, aibu ukaone wewe,na hata huoni tatizo!!!!

bado tutajenga sana miradi dada angu haijalishi wewe unaona aibu au unaona uchungu.

hata dunia nzima inashangaa mmetudouble uchumi,lakini mnakufa na njaa wakati hatujui njaa ni kitu gani[emoji1][emoji1],,tena tunataka kuishusha mwaka huu isomeke $55bln[emoji23][emoji23][emoji23].

Wanaolalamika kwamba mumeishiwa ni hao hao Watanzania, sasa wewe ukiwa Buza hutaona chochote, anyway wacha nikuache kwa sasa maana tunanogesha party hapa usiku huu, baki hapo nitakukuta kesho niendelee kukukumbushia mlivyo na gubu.
 
toka unakua mpaka umekomaa ndevu uliishasikia baba yako anakwambia,ana hela!!!

hiyo ndio tabia ya binaadam,wakati bongo watu wanalia ukata,kuna gari zinashushwa bandari,kuna frem zinajengwa na kupangishwa mtaani,kuna watu wanaendelea kufunga ndoa tena harusi za gharama,na nyumba zinaendelea kujengwa.

ni vigumu kulinganisha na kupata majibu kipi ndio kipi.
 
Hii adhabu ingetolewa na mahakama.
Huyu DC kakosea sana.
Vijana wanamuangusha aliye wateua.
 
Rugemalira na Herbinder Singh wameiba mali ya umma mbona hawajachapwa bakora? Viongozi wangapi wa ccm ni wezi wa mali ya umma na hakuna anayedhubutu kuwachara

Inashangangaza ila inabidi nikuvumilie kwa sababu kwenye mijadala lazima wawepo watu kama nyie, kazi yetu apa nikuelimishana tuu

Haimaanishi kila atakaye ujumu uchumi basi stahiki yake ni bakora la hasha, nimesemea kwa kosa walilolifanya hao wafanya biashara kuchara bakora ni sawa kabisa
sababu hata hao watu unao wataja na hao wafanya biashara ni vitu viwili tofauti, ngoja nikufikirishe unaweza niambi kwa nini kuna utofauti kati ya mwizi na jambazi ingali ya kuwa wote ni waarifu
Bakora anazo kula mwizi wa kuku ni tofauti na bakora anazo kula mwizi wa benki
 
Back
Top Bottom