[emoji16][emoji16][emoji16]miradi ipo tz, aibu ukaone wewe,na hata huoni tatizo!!!!Ndio tulishawapiga double kiuchumi na kila kitu na kwa mlivyoingiwa na mihemko ya kukurupukia miradi bila ramani au dira, sijui mtaifichia wapi aibu.
ruge na singh hawawezi kuchapwa fimbo maana wameiba pesa nyingi.Rugemalira na Herbinder Singh wameiba mali ya umma mbona hawajachapwa bakora? Viongozi wangapi wa ccm ni wezi wa mali ya umma na hakuna anayedhubutu kuwacharaza bakora?
Au bakora ni kwa watu fulani tu?
Hizi bakora angekuwa anamchapa mwafrika kwa kosa hilo hilo mngekuwa mmekaukiwa mate kwa jinsi ambavyo mngepiga kelele
[emoji16][emoji16][emoji16]miradi ipo tz, aibu ukaone wewe,na hata huoni tatizo!!!!
bado tutajenga sana miradi dada angu haijalishi wewe unaona aibu au unaona uchungu.
hata dunia nzima inashangaa mmetudouble uchumi,lakini mnakufa na njaa wakati hatujui njaa ni kitu gani[emoji1][emoji1],,tena tunataka kuishusha mwaka huu isomeke $55bln[emoji23][emoji23][emoji23].
toka unakua mpaka umekomaa ndevu uliishasikia baba yako anakwambia,ana hela!!!Wanaolalamika kwamba mumeishiwa ni hao hao Watanzania, sasa wewe ukiwa Buza hutaona chochote, anyway wacha nikuache kwa sasa maana tunanogesha party hapa usiku huu, baki hapo nitakukuta kesho niendelee kukukumbushia mlivyo na gubu.
Wewe ni mtu una maono marefu nawakuingwa mbathi ya hardlin
Wewe ni mtu una maono marefu nawakuingwa mbathi ya hardlined ccm juhajiths. Lugha safi.
Rugemalira na Herbinder Singh wameiba mali ya umma mbona hawajachapwa bakora? Viongozi wangapi wa ccm ni wezi wa mali ya umma na hakuna anayedhubutu kuwachara