Hekaheka Uzeeni

Enzi za bao 12?
 
Aise ngoja niendelee kufuatilia tu maana sjaelewa bado babu yangu
 
Wale waraabu bado wapo pale Nduguti japokuwa wengi wao wamehamia Oman kwa sasa. Wapo watoto wa bwana shamba kwa sasa. Gumanga hadi Ibaga asee ni mbali sana mkuu. [emoji119]
 
Wale waraabu bado wapo pale Nduguti japokuwa wengi wao wamehamia Oman kwa sasa. Wapo watoto wa bwana shamba kwa sasa. Gumanga hadi Ibaga asee ni mbali sana mkuu. [emoji119]
Karibu nusu ya basi "Yellow Line" tuliamua kutembea kuelekea Ibaga, tulianza safari saa saba usiku, siwezi kisahau 'route march' ile isiyokuwa na miongozo!

Hatimaye alasir tukahitimisha safari, hoi.
 
Gumanga hapakuniacha salama nilipita na mwarabu kwao walikua na shell(kituo cha kuuza mafuta)
 
Hata mimi nijuavyo akinamama hasa kama anachepuka kisiri huwa na wivu ajabu. Mpaka nikadhani hii account ni ya DeepPond na Mama J wake
 
Hili Basi Lina uhusiano wowote na central line?(Singida-Dar)
Yellow Line likikuwa la tajiri mmoja aitwaye Amri Said

Sina uhakika kwa Central Line!

Enzi hizo neno "line" walikuwa wanalitumia sana maana pia kulikuwa na bus liitwalo "Blue Line"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…