Naungana na wewehuu uzi bila picha ni upumbavu
huu uzi bila picha ni upumbavu
Nimeona hiyo Nyumba ni hatari kwakweli achili mbali hekalu lake la kule Mbweni na Kinyerezi .Zamani nikijua bado yuko Area C
Kumbe alishahama
Hekalu jipya lina hadi round about
Kama siasa zinalipa hivi wataendelea kututeka mpaka kiama
Zamani nikijua bado yuko Area C
Kumbe alishahama
Hekalu jipya lina hadi round about
Kama siasa zinalipa hivi wataendelea kututeka mpaka kiama
Ekaru❌❌Bicha pulizi tulibone ilo ekaru[emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo zaidi wanabaka au kuua kabisa.mtatekwa kwa mstari mpaka muame nchi😄