Black nyeti
JF-Expert Member
- Jun 30, 2025
- 692
- 1,131
Hawa ndio wazaha wa lugha ya kiswahiliEkaru❌❌
Hekalu✔️✔️
Hawa ndio wazaha wa lugha ya kiswahiliEkaru❌❌
Hekalu✔️✔️
hatari sanaTatizo zaidi wanabaka au kuua kabisa.
Nimeona hiyo Nyumba ni hatari kwakweli achili mbali hekalu lake la kule Mbweni na Kinyerezi .
The guy was richest and wealthiest
Ila at the end huo mjengo unauacha wanakuwa wana shamba boys .Ndio maana ukienda tofauti na wao wanakuua bila kufikiria mara mbili, money and power...acha kabisa!!!
Mkuu iweke kwa kiswahili hiyo sentensi yako ya money and power ndo utakuja kugundua kuwa wew ni useless wa kingerezaNdio maana ukienda tofauti na wao wanakuua bila kufikiria mara mbili, money and power...acha kabisa!!!
Kwa mahekalu hayo hayatuachiNdio maana ukienda tofauti na wao wanakuua bila kufikiria mara mbili, money and power...acha kabisa!!!
Yes he did the mistakes .Bado akarudi kugombea!
Matatizo mengine wahanga wanayakaribisha wenyewe.
Jamaa kaandika EkaruEkaru❌❌
Hekalu✔️✔️
Familia yake kwani nayo INAKUFA muda huohuo?Ila at the end huo mjengo unauacha wanakuwa wana shamba boys .
Pesa na madaraka!!Mkuu iweke kwa kiswahili hiyo sentensi yako ya money and power ndo utakuja kugundua kuwa wew ni useless wa kingereza
Hahaha,Kama siasa zinalipa hivi wataendelea kututeka mpaka kiama
Oh yeah, ila wanakuwa wameyafurahia maisha ya hapa duniani to the fullest.Ila at the end huo mjengo unauacha wanakuwa wana shamba boys .