chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,350
- 25,870
Kama matibabu tuu ni bil 26 hiloo hekalu ni tone tuu kwa hela aliyo nayoo.
Wewe unayo hata robo japo hufakamii konyagi? Kumbuka hata ww unajinyea daily lkn unakumbuka kusafisha hilo pango lako ndgwewe siumechagua kulewa pombe ndugu
fakamia konyag hadi ujinyee nyumba kama hizi utabaki kujionea kwa majirani
Jamaa kaandika Ekaru
😀🤣
Awe nalo asiwe nalo kikubwa kafaTatizo zaidi wanabaka au kuua kabisa.
Moshi vijijini hiyo ni nyumba ya kawaida mno Wala hakuna anaeshangasAwe nalo asiwe nalo kikubwa kafa
Kwahyo power kumbe inamaanisha madaraka 😎😎😎😎Pesa na madaraka!!
Ni kweli mimi ni useless wa kimalkia mkuu!!
Hii ya naniCurrent situation 😎
View attachment 3436167
ya kwanguHii ya nani
Alienda kubadilisha moyo au ubongoKama matibabu tuu ni bil 26 hiloo hekalu ni tone tuu kwa hela aliyo nayoo.
Mkuu,Kwahyo power kumbe inamaanisha madaraka 😎😎😎😎
Sio kuwa wanarithi wajukuu vizazi na vizazi?Ila at the end huo mjengo unauacha wanakuwa wana shamba boys .
Hongera mkuu kikubwa kukuche salama ila hiyo inahamishikaya kwangu
La kawaida tuZamani nikijua bado yuko Area C
Kumbe alishahama
Hekalu jipya lina hadi round about
Kama siasa zinalipa hivi wataendelea kututeka mpaka kiamaView attachment 3436168View attachment 3436168
angalia kwa pembeni kidogo nimeanza foundation ya gorofa 2Hongera mkuu kikubwa kukuche salama ila hiyo inahamishika
Vyote ameacha ....Nimeona hiyo Nyumba ni hatari kwakweli achili mbali hekalu lake la kule Mbweni na Kinyerezi .
The guy was richest and wealthiest
Naona na uzio wa maana kwa Oppaangalia kwa pembeni kidogo nimeanza foundation ya gorofa 2