Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 18,719
- 60,636
Noma sanašNaona na uzio wa maana kwa Oppa
Noma sanašNaona na uzio wa maana kwa Oppa
Kama alivyo nangwa Mzee Nnauye kwa kufa bila kujenga wakati alikua ni mtu wa karibu sana na Mwalimu!! Waja wazito!!Jmn asingejenga si ungemnanga?
Na bado ubunge alikua anautaka tena!!! š¤š¤Nimeona hiyo Nyumba ni hatari kwakweli achili mbali hekalu lake la kule Mbweni na Kinyerezi .
The guy was richest and wealthiest
mbona yule mtoto wake wa arusha kafubaa vile? nimeona tu pic nikashangaa mkuu.Nimeona hiyo Nyumba ni hatari kwakweli achili mbali hekalu lake la kule Mbweni na Kinyerezi .
The guy was richest and wealthiest
Mkuu ukiwa na kibanda cha nyasi unaenda nacho? maskini tuache kujifariji.Ila at the end huo mjengo unauacha wanakuwa wana shamba boys .
kenge tuko na shida kubwa mkuuwewe siumechagua kulewa pombe ndugu
fakamia konyag hadi ujinyee nyumba kama hizi utabaki kujionea kwa majirani
NAKAZIAOh yeah, ila wanakuwa wameyafurahia maisha ya hapa duniani to the fullest.
AiseešJamaa kaandika Ekaru
šš¤£
HaswaHawa ndio wazaha wa lugha ya kiswahili
Hata usipokuwa mwanasiasa yaani ufanyekazi miaka zaidi ya 30ushindwe kujenga hekalu huo ni upuuzi na uzembeZamani nikijua bado yuko Area C
Kumbe alishahama
Hekalu jipya lina hadi round about
Kama siasa zinalipa hivi wataendelea kututeka mpaka kiamaView attachment 3436168View attachment 3436168
Kuwa na mtoto ni kitu kingine lakin ukaribu wa mzazi na mtoto ni ishu nyingine piambona yule mtoto wake wa arusha kafubaa vile? nimeona tu pic nikashangaa mkuu.