Hekalu la Job Ndugai kweli siasa inalipa, nimejiona masikini kweli

Siku watoto wakienda na maisha yao mke anakuwa na kazi ya kufanya usafi vyumba vyote ukijisahau utakuta nyoka na watoto wake na mayai
 
Watanzania bado tuna ujinga sana, Karne ya sasa mtu anashangaa nyumba ya mtu
 
Nani ameliona la mzee mkurya kule matui kiteto na sio mtu wa serikali.
 
huna mantik yoyote, kama ni kufisad siyo ndugai mwenyewe kafisad nchi, maana najua ndo unachoita mantik, sawa kenge?
Ndio maana nikakwambia mapema kuwa usipanik bila kuelewa lengo la swali langu.

Nilitaka kukumbushana kuwa, tuishi Duniani tukimtafuta Mungu na kumtumikia vyema kuliko kutafuta mali.
Majumba mazuri tukifa tunayaacha hapahapa.

NB: Nimegundua unasumbuliwa na Msongo wa mawazo.Tafuta tiba mapema.
 
sasa si ungenielewesha tu mkuu kama hv kuliko kuniita kimada wa ndugai, halafu mkuu mwenye msongo si ni yule aliyekuwa wa kwanza kumtusi mwenzie, me si nimekuita tu kenge, halafu una uhakika gani na uliyoyaeleza?
 
Mkuu,nilijibu kutokana na jinsi ulivyokuja,ukujibu hoja uliniatack mimi binafsi.

Kuhusu kuwa na uhakika kwa jinsi nilivyokujibu,sina! Na ndio maana sikuhitimisha kuwa ndugai ametenda mema au mabaya.
Bali nilieleza mpango wa Mungu hapa duniani.
 
sawa mkuu ila siku nyingne husiniite kimada mkuu, sijapenda kabisa
 
Back
Top Bottom